Ulimpataje umpendae?

Nice story mkuu
 
Dah....mi tulimit bar...ilikuwa mara yangu ya kwanza kuingia bar. Tukadate miaka miwili na sasa tuna mwaka ndani ya ndoa.
 
Mm wangu aliniomba hela bar
Ndipo nikaunganisha hapo hapo!!
 
Dukan, akanivalisha kiatu na kunitekenya unyayoni baada ya muda tukadinyana vikanoga mpaka leo tumekoleaaa.
 
Nina 42 year natafuta wala sina haraka ni hivi viumbe..
 
Tulikutana kwa mganga wa kienyeji wote tulienda kutafuta ndumba za kupata mwenza, mganga akatuunganisha😀😀
 
Mim wangu nilimuomba namba nikaisave nikajisahau ka wik 3 siku nakuja kumtafuta alifurai... akawa kaz kupga simu yeye tuu mpaka nikammega...
2 yrs nilkua simjali lakin hakukata tamaam...
Sasa nimejitathmin nimeona huyu ndio ananipenda nimeamua kutulia nae na mipango ya ndoa yapo on progress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…