Ulimkomeshaje alipokusaliti?

Acha uongo mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliona dalili za kupigwa chini akaniwahi akakomba vitu geto akasepa,,

Nikaweka supa sub afu nikajaza mazagazaga mapya geto, yeye huko alikoenda kupanga watu wa vikoba wakapita na vitu vyake, jamaa aliyekuwa anamgonga akapotea.

sasa huwa ananitishia kuturoga na sub yangu,,,

Sasa sijui tusharogwa au bado,,,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua msharogwa
 
Kwahiyo siku hiyo ulizuga unaumwa moyo then ukamdanganya na magic voice. Akatoa laki sita kukutibia[emoji23][emoji23].

Ungekuwa ushapita hata geti la chuo usingeandika hili bandiko. Mademu wa kishua wote ninaowaona hapa sioni kilaza wa kukulipia ugonjwa feki kwa laki 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…