Hivi huu mtazamo ni sahihi kweli?Ina maana wanawake tuwe kama maroboti ama?Coz hata sisi tunamiili ya nyama kama wanaume hatuna tofauti sema ni
Na "ngoma" je nayo inavumilika? chukueni tahadhari na wala siyo kuvumilia yasiyovumilika!!!!Vumilia tu na uwe mtii ndio sifa ya mwanamke mwema!
Na "ngoma" je nayo inavumilika? chukueni tahadhari na wala siyo kuvumilia yasiyovumilika!!!!
Then unapoteza sifa ya kuwa mama mwema!
Message convoluted or unclear. Please clarifyYou can say that wewe kiazi, nikisema mimi muhogo naambiwa nina mzizi!
WanaJF,,
.Nimekua nikiona hali tofauti za wanaume(tabia) zao zinapobadilika kutokana na hali ya kifedha.Pindi mwanaume anapokua kwenye hali ya kawaida kifedha tabia zake kwenye suala la mapenzi hua anakua ametulia kwa kiasi fulani,na hata kama ni kwenye ndoa basi kunakua na Amani na Uaminifu.
Sasa basi;
Mambo yanapobadilika na kuweza kufanikiwa kushika hela za kumtosha,hapo ndo shetani anapotawala,hakuna mwanamke atapita mbele yake asitake kua naye,dharau hata kwa mke wake na kumuona si lolote si chochote na mambo mengine ya kuvuruga Amani,
Maoni yenu plz
Message convoluted or unclear. Please clarify
Mara nyingi nimekuwa ninasema, kuna ukomo wa uvumilivu; sasa nimekuwa nikinangwa na wanaoamini uvumilivu usio na kikomo. Nenda kwenye uzi wa gfsonwin wa mwanamke bora utaona nini namaanisha. Ametoa sifa za mama bora ikiwa ni pamoja na uvumilivu, utiifu 'unconditional' na wakaka wanafurahia sana na wanadream kumpata yes sir kinda of woman ambaye anaamka wa kwanza na kulala wa mwisho.