Niliishi pale Dar kwa miaka 5 bila kufahamu hata salamu ya Kizalamo. Sikuona ajabu sana kwa kuelewa sisi ni waswahili hata mtaani ni Kiswahili.
Ajabu ni hii; Eti Hashim Thabit, kijana aliye chechemea ktk masomo pale jitegemee, akijua Kiswahili sana na kiingereza kwa taaabu kabisa baadaye akaenda Marekani sasa hivi anazungumza Kiswahili kwa taabu na anapoweza, eti ni kwa rafdhi ya kimarekani. Hii ndo nini?
Yeye si wa kwanza. Tunaye pia Nzaeli Kyomo. Mkimbiaji wetu kwa miaka ya nyuma aliyekwenda kuishi Ujerumani, naye akarudi akijidai kusahau Kiswahili kila anapohojiwa.
Mwingine huko Ulaya naye akafanya vituko: Ni Jean Claude van Damme. Alijidai kusahau Kidachi chake lakini yeye wabelgiji walimpa kweli yake kwamba arudi huko alikohamia na filamu zake hawazihitaji.
Nadhani nasi tumpe kweli yake Hasheem (maana naye sasa siyo Hashim tena).
Wivu wa kike....wivu wa kijinga.....wivu wamaendeleo............wivu wivu wivu utakuua!!Au wewe ujui kama Hashmu ni Superstar?? celebrity??Niliishi pale Dar kwa miaka 5 bila kufahamu hata salamu ya Kizalamo. Sikuona ajabu sana kwa kuelewa sisi ni waswahili hata mtaani ni Kiswahili.
Ajabu ni hii; Eti Hashim Thabit, kijana aliye chechemea ktk masomo pale jitegemee, akijua Kiswahili sana na kiingereza kwa taaabu kabisa baadaye akaenda Marekani sasa hivi anazungumza Kiswahili kwa taabu na anapoweza, eti ni kwa rafdhi ya kimarekani. Hii ndo nini?
Yeye si wa kwanza. Tunaye pia Nzaeli Kyomo. Mkimbiaji wetu kwa miaka ya nyuma aliyekwenda kuishi Ujerumani, naye akarudi akijidai kusahau Kiswahili kila anapohojiwa.
Mwingine huko Ulaya naye akafanya vituko: Ni Jean Claude van Damme. Alijidai kusahau Kidachi chake lakini yeye wabelgiji walimpa kweli yake kwamba arudi huko alikohamia na filamu zake hawazihitaji.
Nadhani nasi tumpe kweli yake Hasheem (maana naye sasa siyo Hashim tena).
Wivu wa kike....wivu wa kijinga.....wivu wamaendeleo............wivu wivu wivu utakuua!!Au wewe ujui kama Hashmu ni Superstar?? celebrity??
Wivu wa kike....wivu wa kijinga.....wivu wamaendeleo............wivu wivu wivu utakuua!!Au wewe ujui kama Hashmu ni Superstar?? celebrity??
Hata kama anakijua Kiswahili cha nini kinafaida gani wapi ulishawahi kusikia kiswahili ni kigezo kupata kazi??Kwanza Hashm jamaa yupo juu kwanza anachokiongea kinatosha hata mimi ningeenda madagasca nikae wiki nakuja naonge kifaransa kiswahili sitaki!!!!Kiswahi ni mali ya CCM ndo wamekikumbatia mpaka leo wageni wanatupola kazi nzuri kwakuwa hatukusoma vizuri kwakuwa masomo mengi ya sekondary yanafundishwa kwa lugha ya kiingereza ambacho viongozi wa CCM waliiogopa hiyo lugha wakiamini kiingereza ni kwa ajili ya Nyerere shit.....!!!Jamani simtetei hasheem but kama usa utanielewa, hasheem ameondoka wakat yupo form 2 around 2003 au 2002 makongo, na wenda straight to high school kule usa, high xul za usa ni taofaut na bongo kule zinachukua miaka mingi had ufike senior then akaenda college connecticut, katika states ambazo ni ngumu kukutana na wabongo au waafrica, I mean states za wazungu karibu wote ni connecticut, so inawezekana hasheem alipita mda mrefu bila kuongea kiswahili zaidi ya akipiga simu home kwao na kipindi hiko sizan kama alikuwa na hela ya kupiga simu kila siku,
Kuna states usa ni ngumu sana kukutana na wabongo wenzako as connecticut, iowa, hawaii, alabama, minnessota and so on so ukikaa huko unaweza usiongee kiswahili hadi unarudi bongo na hiyo inaweza kusababisha misamiati kuitafuta kwa shida wakati wa kuongea, sema kwenye kusikia kusahau ni ngumu as kila neno ukiiambiwa unalikumbuka maana yake but kuongea ni ishu,
Also all in all hasheem is the most succesful youth in Tanzania as at his age hakuna mwenye umri wake anaemzidi kipato, I mean selfmade billionaires labda wa urithi tena wachache so kuwa na swagah muhimu ndo maana leo tunamuona na hummer, kesho range sports nyeusi, jumba masaki na bado bank statement inasoma, as akienda mliman city au 5 star hotel yeyote dunian yeye ana swap master card yenyewe au unicredit, so kumuongekea tunapoteza nguvu tu as bora tufanye kazi tu tujue mustakabali wa maisha yetu mwenzetu ameshatusua.
chukua muda ulioiona ihi thread na muda uliofikiri kumuhuliza swali lako basi utakuwa umepata jibu la swali lako,,,Ulichokiandika hapa umekiwaza kwa muda gani kabla ya ku-post?
Wivu wa kike....wivu wa kijinga.....wivu wamaendeleo............wivu wivu wivu utakuua!!Au wewe ujui kama Hashmu ni Superstar?? celebrity??