Mimi ninazo hadi leo. Akili inakaa kwa mwenye akili, pesa inakaa popote lazima utofautisheTHE DANGER OF BEING ACADEMICALLY SMART: KUAMINI KWAMBA DUNIA INAKUDAI MAISHA MAZURI KWA SABABU ULIKUWA MZURI DARASANI.
Kuna tatizo ambalo watu wengi waliokuwa academically smart wanakutana nalo wanapoingia kwenye maisha halisi.
Kwa sababu walikuwa wanafanya vizuri shuleni, wanapata alama nzuri na walikuwa miongoni mwa wanafunzi bora, wanaanza kuamini kwamba dunia inawadai excellence, kazi nzuri, kipato kikubwa na maisha mazuri kwa sababu tu walikuwa better than others academically.
Lakini maisha yana mfumo tofauti na shule.
Ukweli ni kwamba, dunia haikulazimiki kukupa maisha mazuri kwa sababu ulikuwa mwanafunzi bora.
Huwezi kutegemea kupata kazi nzuri kwa sababu tu ulikuwa unapata A darasani. Huwezi kutegemea kupata pesa nyingi kwa sababu tu ulikuwa na akili kuliko wenzako. Huwezi kutegemea watu wakuheshimu kwa sababu tu una vyeti vingi.
Katika maisha halisi, kuna watu ambao hawakuwa wanafunzi bora lakini wamejenga biashara kubwa, wamefanikiwa kwenye uwekezaji na wanaishi maisha ambayo watu wengi waliokuwa academically smart wanayatamani.
Kwa nini?
Kwa sababu maisha yanahitaji zaidi ya akili za darasani.
Yanahitaji:
* Uwezo wa kutatua matatizo.
* Uwezo wa kuuza na kujadiliana.
* Emotional intelligence.
* Uwezo wa kujenga mahusiano na connections.
* Nidhamu ya kifedha.
* Uwezo wa kuchukua hatua na kuvumilia changamoto.
* Uwezo wa kujifunza na kubadilika.
Jambo muhimu nililopaswa kujifunza ni kwamba, kuwa smart hakumaanishi kwamba unastahili kupata kila kitu bila kupambana.
Ulikuwa bora darasani? Hongera. Lakini sasa unahitaji kujithibitisha kwenye maisha halisi.
Acha kutegemea dunia ikutambue kwa sababu ya uwezo wako wa zamani. Jenga uwezo mpya, jifunze skills zinazoweza kukuletea kipato, tafuta fursa na uwe tayari kuanza chini.
Your academic intelligence may open the door, but your ability to adapt, create value and execute will determine how far you go.
Usitumie maisha yako kujaribu kuthibitisha kwamba wewe ni bora kuliko wengine. Tumia muda wako kujenga maisha unayoyataka.
Dunia haikulazimiki kukulipa kwa kuwa smart. Inakulipa pale unapoweza kutengeneza thamani ambayo watu wanahitaji.
Ujaelewa mada mkuuUko sahihi kwa sehemu fulani.lakini ukweli ni kwamba, wengi wa wenye akili sana za darasani,ambao hadi chuo wamehitimu wakiwa na ufaulu mzuri sawa na akili zao,ndio wenye ahueni zaidi ya maisha kuliko wale ambao walikua wa kawaida darasani.
lakini je,unavyofikiri wewe watoto wenye akili za darasani hawana uwezo wa kufanya hayo unayoyasema?
Amini au usiamini,watoto wenye akili sana za darasani wanauwezo wakufanya kila kitu sawa na ambao wana upeo wa kawaida wa masomo.tena wao wanakua na kitu cha ziada,upeo wa darasani!
Kinachosababisha baadhi (tena wachache kati ya wengi) ya watoto wenye akili sana za darasani kukwama kwenye maisha ni VITA.
watoto wenye akili sana za darasani vita yao ni kubwa sana! Na mbaya zaidi wao wanakua hawajui,hawawezi kuona dalili,kujilinda wala ujitetea!
Na kama mzazi au mlezi asipomlinda mtoto wake kwa sala au vyovyote akamuacha tu awe wazi.basi mbeleni mtoto wa namna hiyo lazima aje awe kama hao unaowatolea mfano.
Maandiko yanasema watu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa! Na watoto hawana maarifa.wanawategemea wazazi/walezi wawalinde na kuwaongoza vema!
Unaweza usinielewe kutokana na mtazamo wako lakini ndio hivyo.
Kwanini baadhi (wachache katika wengi) wenye uwezo wa kawaida darasani wanafanikiwa.
1*wazazi/walezi wao HUTAMBUA mapema,hivyo huwaandalia njia mbadala na kutafuta maisha.
2*VITA YAO NDOGO,au wanaweza wasiwe na vita kabisa mpaka mafanikio yao yatapoanza kuonekana.
3*wao pia HUJITAMBUA na kuanza kujiongeza nje ya mfumo kishule.
Wewe umeelewa nilichoandika?Ujaelewa mada mkuu
Kwanini CPA holder ana MAISHA ya kawaida tu kwanini asiwe bilionea?THE DANGER OF BEING ACADEMICALLY SMART: KUAMINI KWAMBA DUNIA INAKUDAI MAISHA MAZURI KWA SABABU ULIKUWA MZURI DARASANI.
Kuna tatizo ambalo watu wengi waliokuwa academically smart wanakutana nalo wanapoingia kwenye maisha halisi.
Kwa sababu walikuwa wanafanya vizuri shuleni, wanapata alama nzuri na walikuwa miongoni mwa wanafunzi bora, wanaanza kuamini kwamba dunia inawadai excellence, kazi nzuri, kipato kikubwa na maisha mazuri kwa sababu tu walikuwa better than others academically.
Lakini maisha yana mfumo tofauti na shule.
Ukweli ni kwamba, dunia haikulazimiki kukupa maisha mazuri kwa sababu ulikuwa mwanafunzi bora.
Huwezi kutegemea kupata kazi nzuri kwa sababu tu ulikuwa unapata A darasani. Huwezi kutegemea kupata pesa nyingi kwa sababu tu ulikuwa na akili kuliko wenzako. Huwezi kutegemea watu wakuheshimu kwa sababu tu una vyeti vingi.
Katika maisha halisi, kuna watu ambao hawakuwa wanafunzi bora lakini wamejenga biashara kubwa, wamefanikiwa kwenye uwekezaji na wanaishi maisha ambayo watu wengi waliokuwa academically smart wanayatamani.
Kwa nini?
Kwa sababu maisha yanahitaji zaidi ya akili za darasani.
Yanahitaji:
* Uwezo wa kutatua matatizo.
* Uwezo wa kuuza na kujadiliana.
* Emotional intelligence.
* Uwezo wa kujenga mahusiano na connections.
* Nidhamu ya kifedha.
* Uwezo wa kuchukua hatua na kuvumilia changamoto.
* Uwezo wa kujifunza na kubadilika.
Jambo muhimu nililopaswa kujifunza ni kwamba, kuwa smart hakumaanishi kwamba unastahili kupata kila kitu bila kupambana.
Ulikuwa bora darasani? Hongera. Lakini sasa unahitaji kujithibitisha kwenye maisha halisi.
Acha kutegemea dunia ikutambue kwa sababu ya uwezo wako wa zamani. Jenga uwezo mpya, jifunze skills zinazoweza kukuletea kipato, tafuta fursa na uwe tayari kuanza chini.
Your academic intelligence may open the door, but your ability to adapt, create value and execute will determine how far you go.
Usitumie maisha yako kujaribu kuthibitisha kwamba wewe ni bora kuliko wengine. Tumia muda wako kujenga maisha unayoyataka.
Dunia haikulazimiki kukulipa kwa kuwa smart. Inakulipa pale unapoweza kutengeneza thamani ambayo watu wanahitaji.
Naunga mkono Hoja.Mimi ninazo hadi leo. Akili inakaa kwa mwenye akili, pesa inakaa popote lazima utofautishe
Kwani lengo la watu wenye akili ni lazima kuwa mabilionea?kama ni hivo,mnakosea sanaKwanini CPA holder ana MAISHA ya kawaida tu kwanini asiwe bilionea?