Ulijifunza nini baada ya kusalitiwa au kuachwa na uliyempenda

Nilijifunza kuthamini alichonacho mtu,nikagundua hakuna aliemkamilifu,
..nikajifunza kumwelewa mtu kwa jinsi alivyo,na sio kulazimisha mtu awe kama nitakavyo..relationship yangu ya mwisho imenifunza mengi....haupo nami ila nitakukumbuka daima!

imenigusa sana hii kitu! Umeandika kwa uchungu ambao kama nauona, pole sana n funzo tosha umepitia.
 
Nimejifunza mapenzi hayanunui..altezza, verossa wala hayajazi mafuta..au kujenga nyumba....over...
 
Back
Top Bottom