Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,643
Very eazy to overcome!!!!!Kua na mentality na postive ego ya kianaume kua wanawake wapo wengi atakuja mwingine!!!!Sawa broDah yaani hapa natoka kuachika Kwa sababu ambazo naziona sio za msingi kabisa, nimempa 100k akafanye ishu zake nyingine bila hata kuniomba.
Hata Asante hakusema, juzi ananiomba Tena shilling laki Moja ambayo Haina maelezo yoyote π€
She was like... Umm babe naomba shilingi laki Mojaπ±π± meseji ikaishia hapo.
NAMI sikujibu chochote nione reaction Yake mpaka zilipoanza lawama kwamba nimekua bahili siku hiziπ¬π¬
Nikawambia yes mimi ni bahili so what, akadai tuachane.
NAMI nikaona poa tu maana Amna mambo apa zaidi ya kuchunwa tu㪠sijataka kuhoji kuhusu ile pesa nilomtumia bila kuomba.
Nipo nipo tu kichwa kime hangπππ
Kumbe kuachwa ndo inakua hiviπ±π±
Ila naona kama nimetua ka mzigo Fulani hivi, kuachana na hii Toyota brevis π ila Kuna mda naanza kumuwazia Tena
Ebu nipeni mbinu nifanyeje ku overcome ishu kama hii
mzabzab
Mzee wa kupambania
Eti To yeye mtu anaekutumia pesa bila kuomba ni bahiliπ€
Shunie Antonnia Depal Chakorii ebu kuweni na huruma na pesa zetu wandugu
Kaka mwachi unadai mpaka shukaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£Na yeye akikudai energy yake kwenye..............!!!Utasemajeπ€£π€£π€£πMimi nilipo achwa na mwanamke nilienda kudai vitu vyangu nikaenda kuchukua shuka nililo nunua
Kaka mwachi unadai mpaka shuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na yeye akikudai energy yake kwenye..............!!!Utasemaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39]
Ni ufara tu, ona jamaa anajidai gentleman katuma bila kuombwa lkn anaonekana mpuuzi tuWanaume wanaotuma hela pasipo kuombwa mmebaki wachache sana..
Dada anachezea shilingi chooni.
π€£π€£π€£π€£π€£Mbona ata mimi nimetumia enegy kubwa sana af kile kitu hatutakiwi kunyimana tungekuwa tunapeana kama kuku tu hanavyo peana
Santos06 tabu yote ya nini, hebu jiweke kwa bibie toyeye.. Ni mrembo haswaa, kwa comments zake naona anajali kabisa, moyo wake ni mgodi wa almasi japo wachimba chumvi wametia tia doa.Sikuzote nasema bahati muda Mwingine uwapata wasio na haja nayo.Daaa,ni ningekutunza zaidi ya mtoto...hiyo pesa ya kupewa pasipo kuomba si angeuliza hata size ya kiatu uvaacho akusuprise laaziz.Ila ukome,mnajeuri sana wanaumeπ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
No comment kakaπ€£π€£π€£π€£Au wewe unasemaje
No comment kaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kurudia mademu wa zamani ni kujitafutia magonjwaHapo sawa hilo ndo la muhimu
Kama ni hivyo basi hilo lisikuumize kichwa acha asepe.
Achana naye kwa amani kuna siku utakuja kupasha kiporo nakwambia, hao viumbe dhaifu sana
π€£π€£π€£π€£Ningegeuzwa mgodi
Bila hii komenti huu Uzi ni batiliKuachwa na mwanamke mpenda Hela nisawa na kumaliza mkopo bank.
Mpotezeee fanya mambo mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Astaghifilullah!π€π€π€π€Mimi nilipo achwa na mwanamke nilienda kudai vitu vyangu nikaenda kuchukua shuka nililo nunua
πππ€π€Eti jamani.
Mie ningekuwa namsugua mpaka miguu santos sitaki babe wangu ainame iname aumie..
Huyo mdada ngoja aende mtaani akutane na wakina fudenge anaenda na nauli yako anamchakataza na kurudi anarudi na nauli yake anaambiwa mamiloo subiri kwanza kuna hela naisikilizia.