Mkuu mpaka leo kila mtu na maisha yake japo siku chache baada ya kuachana aliniambia yule hakuwa jamaa wake Ila alikuwa na ukaribu naye tu wa kikazi lakini sikurudi nyuma nilikuwa nampenda Sana Yule mwanamke sijui Kama nitakuja kupenda Kama vile maishani mwangu ila yote maisha mkuu japo ilinichukua mda ku accept the reality.Vipo kuhusu huyo demu ? Story haijaisha
unatumia app gani kupata hzo audio booksAsante mkuu pwilo kwa kuniruhusu kutiririka.
Mi nilianza 2018 tu hapo c mbali. Na niliamua tu nianze kusoma yani consciously niliamua mwenyewe. Hakukuwa na external factor yoyote iliyoni-drag in.
Before hapo nilikua na pdfs katika pc, ila kusoma page 5 mfurulizo ulikuwa tabu sana. Kwanza mazingira hayakuwa yanasupport. Ila baada yakugumia chaka ambalo liliniwezesha kupata Audiobooks tu, mambo yakawa mtelezo.
Kuanzia July 2018 to 2019 nilikua nmeshasoma vitabu zaidi ya 30 ( kwa mujibu wa mkuu pwilo).
So nikabadilika kdogo yani muda wote utanikuta nipo na earphones, Kwenye daladala, njiani nikitembea, pia hata nikiwa nimechill magetoni nakula zangu audiobooks.
Within few days kitabu Nilikuwa namaliza, vitabu vingi duration yake ni kuanzia 3hr na kuendelea. Kusikiliza 3hr straight haikuwa rahisi kulingana nashukuri ninazofanya. Hivyo kusikiliza 10mins to 1hr ndio ilikuwa ratiba.
Vitabu navyopenda ni
1.Business related books
2. Self-help books ila c sana
Youtubeunatumia app gani kupata hzo audio books
Sawa mkuu which is your favorite book so far na ungependa kila mtu asome mi nashauri THINK AND GROW RICH one of the best book kwako MWALIMU kashashaAsante mkuu pwilo kwa kuniruhusu kutiririka.
Mi nilianza 2018 tu hapo c mbali. Na niliamua tu nianze kusoma yani consciously niliamua mwenyewe. Hakukuwa na external factor yoyote iliyoni-drag in.
Before hapo nilikua na pdfs katika pc, ila kusoma page 5 mfurulizo ulikuwa tabu sana. Kwanza mazingira hayakuwa yanasupport. Ila baada yakugumia chaka ambalo liliniwezesha kupata Audiobooks tu, mambo yakawa mtelezo.
Kuanzia July 2018 to 2019 nilikua nmeshasoma vitabu zaidi ya 30 ( kwa mujibu wa mkuu pwilo).
So nikabadilika kdogo yani muda wote utanikuta nipo na earphones, Kwenye daladala, njiani nikitembea, pia hata nikiwa nimechill magetoni nakula zangu audiobooks.
Within few days kitabu Nilikuwa namaliza, vitabu vingi duration yake ni kuanzia 3hr na kuendelea. Kusikiliza 3hr straight haikuwa rahisi kulingana nashukuri ninazofanya. Hivyo kusikiliza 10mins to 1hr ndio ilikuwa ratiba.
Vitabu navyopenda ni
1.Business related books
2. Self-help books ila c sana
Sawa mkuu which is your favorite book so far na ungependa kila mtu asome mi nashauri THINK AND GROW RICH one of the best book kwako MWALIMU kashasha
Kwenye vitabu kuna vitu vingi sana vimefichwa ambavyo tunakabiliana navyo katika maisha ya kila siku na jamii inayo tuzungukaBaada ya kuangalia season Sanaa, nikaona huu ujinga. Yaani naangalia watu wanavyo pigana itanisaidia nini wakati hata pushapu zenyenye sipigi zaidi ya 2[emoji2][emoji2]. Nikageugia vitabu.
Though nilikuwa napenda Sana kusoma tangu nikiwa mdogo, ila mapinduzi makubwa ni kipindi nikiwa chuo.
Jamani tusome vitabu vinasaidia hata kukabiliana na changamoto ndogondogo za kila siku.
Upo vizuri mkuu naamini wadau na wapenzi wa vitabu wamepata kitu kutoka kwakoKila kitabu nachopitia kwa kweli kwangu huwa ni favourite. Kwa sababu kila kimoja uwa na madini yake unique kabisa.
Ila na-recommend
1. How to win friends and influence people.
2. The Airbnb Story
3. Dark Psychology
4. Zero to One
5. 10X Rule
6. Men are from mars and women are from venus
7. Falling Forward
Ase ni vingi sana, natamani watu wasome
VINGI MNO.
Audio Books Archiveunatumia app gani kupata hzo audio books