Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 196
- 266
Jitahidi kunywa maziwa and pray to God as to be detached from demons 🙏🏻Part one
Kiukweli,hata Mimi sijui nilianza lini,
naandika Uzi muda huu nikiwa nimewasha portsman kusindikiza muda uende kama kiburudisho. Kiukweli uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya kama ilivyo kwenye matangazo katika pakiti zake.
lakini ni nani awezaye kukana arosto yake kisa maandishi ya font size 22 " ONYO UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO" Ki uhalisia ni mwaka wa 9 toka nilipoonja chiga yangu ya kwanza nikiwa secondary just for vibe (ujana wa kujaribu vitu,real scientist) ,,,,nliendelea na tabia hyo kwa kujificha sana hata rafiki zangu wa karibu walikua hawajui,
pia nilikua nanunua na kuvuta mitaa ambayo siishi wala hawanifahamu, Kuepusha kukutana na wanaonijua maana sifananii,na nilikua naaminika sana as a bright kid kulingana na uwezo wangu darasani.
Days zikaenda na kuenda mpk Nilipofika advance Ndio gari likaanza Kuchochea kipindi chote, nilikua natumia SM Mara moja moja ,nlpofka advance nkapata company ya smoking aisee .....Ubalozi ulichomwa sana bila stress ukizingatia pocket money ipo pakit 2 kitu gani zkikaa ghetto,,,, but still sikua na chaguo maalumu la sigara hvyo nilitumia more than 4 types of cigarettes.
After advance as a soldier to be ikanilazimu kuingia kambi mkoa wa machalii aisee the place was extremely cold.....na zile pitshot nkapata mdau kutoka Iringa (kamwene)
The nigga was the real meaning of chainsmoker pale nikapata Mpenzi (PORTSMAN KING).....
Nkaacha kua malaya wa chiga. Nikazimia kwa portsman tulinununua pakiti na pakiti duka LA jeshi mpka zikawa highly demanded maan zilikua zinawahi kuisha kuliko before,
na maafande wala sport wanajuana lakini kila mmoja akimuomba mwenzake chiga Hana sasa nani ananunua na dukani zimeisha ( story ya Siku nyingine) of course tulivuta fegi huku tumesimika,,
,life likaendelea pale kambn huku mm na Kamwene boy tukijipa utawala sana na kwenda kula fegi porini. Course ikaisha wahuni mtaani.
aisee from that moment onward portsman au spoti OG imekua sehemu ya daily routine 10-15 cigarette per day...........
Mkuu umeandika maneno mengi na wewe.Part one

Wewe,haikupendiDah mm siku ya kwanza kuonja tu, nililazwa hospital wiki nzima
AmenJitahidi kunywa maziwa and pray to God as to be detached from demons 🙏🏻
Nimekosa,namna nzuri ya uandishi kuelezea namna nilivyoanza kuvuta mpka kua addictMkuu umeandika maneno mengi na wewe.
Pombe na fegi aisee znatembea kinomaMimi siku ya kwanza kabisa mwaka 2005 mwezi wa sita nikiwa Kwa mjomba wangu nilikuwa nakaa nawashikaji wanaovuta skuli ila Mimi simoki ..ila siku walikuwa hawana Hela ya mpepe nikawapa elfu 2 wakaenda nunua nikawaambia wanipe za buku ..kesho yake ilikuwa jumamosi sijui ni shetani Gani asee nikatoka nikaenda shop nikanunua zedi na sigara spot nikaja nikatoa kitu nikaaza moko nikala fegi na zed aseee hiyo vibe niliyopata sio poa ..Yani mpaka leo namoka nakunywa k vant .a sigara Embassy sport niliacha 2014.
One day,I'll stopCigarettes [emoji377] are highly addictive
Mkuu asikuambie mtu
Nimevuta miaka 44 nilianza nikiwa mdogo sana
Sababu ni kujihusisha na watukutu ila niliendelea kwa mda wote huo kwa mapenzi yangu mwenyewe
Nikaenda kwenye nchi ambayo wanaume % kubwa sana ni wavutaji yaani kila unapopita kuna wanaovuta fegi
Nimekuja kwenye nchi nyingine tena ambayo wanaovuta ni wachache
Siku moja nikasema hii ndio iwe sigara yangu ya mwisho na ikawa hivyo
Nilikua nauza duka la kaka angu hapo panauzwa sigara tu ndipo nilipojifunzia kuna kipind naweza kukaa hata miaka mitatu lkn baadae narud tenaPart one
Kiukweli,hata Mimi sijui nilianza lini,
naandika Uzi muda huu nikiwa nimewasha portsman kusindikiza muda uende kama kiburudisho. Kiukweli uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya kama ilivyo kwenye matangazo katika pakiti zake.
lakini ni nani awezaye kukana arosto yake kisa maandishi ya font size 22 " ONYO UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO" Ki uhalisia ni mwaka wa 9 toka nilipoonja chiga yangu ya kwanza nikiwa secondary just for vibe (ujana wa kujaribu vitu,real scientist) ,,,,nliendelea na tabia hyo kwa kujificha sana hata rafiki zangu wa karibu walikua hawajui,
pia nilikua nanunua na kuvuta mitaa ambayo siishi wala hawanifahamu, Kuepusha kukutana na wanaonijua maana sifananii,na nilikua naaminika sana as a bright kid kulingana na uwezo wangu darasani.
Days zikaenda na kuenda mpk Nilipofika advance Ndio gari likaanza Kuchochea kipindi chote, nilikua natumia SM Mara moja moja ,nlpofka advance nkapata company ya smoking aisee .....Ubalozi ulichomwa sana bila stress ukizingatia pocket money ipo pakit 2 kitu gani zkikaa ghetto,,,, but still sikua na chaguo maalumu la sigara hvyo nilitumia more than 4 types of cigarettes.
After advance as a soldier to be ikanilazimu kuingia kambi mkoa wa machalii aisee the place was extremely cold.....na zile pitshot nkapata mdau kutoka Iringa (kamwene)
The nigga was the real meaning of chainsmoker pale nikapata Mpenzi (PORTSMAN KING).....
Nkaacha kua malaya wa chiga. Nikazimia kwa portsman tulinununua pakiti na pakiti duka LA jeshi mpka zikawa highly demanded maan zilikua zinawahi kuisha kuliko before,
na maafande wala sport wanajuana lakini kila mmoja akimuomba mwenzake chiga Hana sasa nani ananunua na dukani zimeisha ( story ya Siku nyingine) of course tulivuta fegi huku tumesimika,,
,life likaendelea pale kambn huku mm na Kamwene boy tukijipa utawala sana na kwenda kula fegi porini. Course ikaisha wahuni mtaani.
aisee from that moment onward portsman au spoti OG imekua sehemu ya daily routine 10-15 cigarette per day...........
Yote ya yote usiombe upate arosto usiku ya kuchoma, na hauna fegiPart one

[emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu umeandika maneno mengi na wewe.