Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,360
- 11,588
Mshikaji wewe muongo sanaNdugu zanguni, mkiniona nimekuwa sugu la mapenzi kiasi hiki, jueni tu nimepitia mianzi ya kila kiwango. Nipende tu kusema haya mapenzi hayana mwenyewe. Enzi zile nilipokuwa napata taarifa ya usaliti ama kitelekezwa nililia sana, hii ni kwa kuwa nilikuwa napenda mpaka napenda tena, yaani unaingia kwenye mahusiano na mwanamke wa ndoto yako ambaye amekidhi vigezo vya kimwonekano na tabia uzitakazo, hivyo akina Aisha Kibunda unaamua kuwatupilia mbali bila kujali huenda wakawa wafariji wako kwa dunia ya kesho. Sasa hivi mi ni zaidi ya sugu
Mara ya mwisho kuachwa:
Ilikuwa ni mapema sana siku ya weekend (J2), nilikuwa hata bado sijapata kifungua kinywa, nashangaa video call inaingia kwenye simu. Ile kumpokelea tu, nashangaa yuko na bwana ake guest, wamejifunika mataulo huku wanacheka, ile niko naduwaa nashangaa bibie anasema, "cheki kisura chake kilivyomshuka, halafu amejamba, jamani! Mmh Mmmh Mmmh, baby harufu, kata simu baby haruuuuufuuu".
Kwa kuwa tayari nilikuwa nshakuwa sugu la mapenzi, nilipeleka ndoo tatu bafuni kwenda kuoga, moja nilitia sabuni ya unga na mtego, nyingine maji ya kusuuzia mwili, nyingine nilitia chumvi ya mawe kwa ajili ya kuondoa huo mkosi. Yaani tuseme tu nilijifua kama gari. Mapenzi bhana!
Kilichoniwazisha, jana yake usiku nilikuwa naye somewhere tunapanga mipango ya maisha yetu ya baadae huku tunacheka na kutabasamu, idadi ya watoto tutakaokuwa nao na majina yao, tukapanga kwenda kutambulishana ukweni n.k Kisha nikampatia 30k kwa ajili ya kusuka. Nikapata denda tukaagana, kila mmoja akamwambia mwenzie asisahau kumuota
Haaapaaana, sio chai, ni kisa cha kweli. Kweli tena!Mshikaji wewe muongo sana
We ulitoa 30 ya kusuka.ukapata denda, mwenzako alitoa laki akapatavyoteNdugu zanguni, mkiniona nimekuwa sugu la mapenzi kiasi hiki, jueni tu nimepitia mianzi ya kila kiwango. Nipende tu kusema haya mapenzi hayana mwenyewe. Enzi zile nilipokuwa napata taarifa ya usaliti ama kitelekezwa nililia sana, hii ni kwa kuwa nilikuwa napenda mpaka napenda tena, yaani unaingia kwenye mahusiano na mwanamke wa ndoto yako ambaye amekidhi vigezo vya kimwonekano na tabia uzitakazo, hivyo akina Aisha Kibunda unaamua kuwatupilia mbali bila kujali huenda wakawa wafariji wako kwa dunia ya kesho. Sasa hivi mi ni zaidi ya sugu
Mara ya mwisho kuachwa:
Ilikuwa ni mapema sana siku ya weekend (J2), nilikuwa hata bado sijapata kifungua kinywa, nashangaa video call inaingia kwenye simu. Ile kumpokelea tu, nashangaa yuko na bwana ake guest, wamejifunika mataulo huku wanacheka, ile niko naduwaa nashangaa bibie anasema, "cheki kisura chake kilivyomshuka, halafu amejamba, jamani! Mmh Mmmh Mmmh, baby harufu, kata simu baby haruuuuufuuu".
Kwa kuwa tayari nilikuwa nshakuwa sugu la mapenzi, nilipeleka ndoo tatu bafuni kwenda kuoga, moja nilitia sabuni ya unga na mtego, nyingine maji ya kusuuzia mwili, nyingine nilitia chumvi ya mawe kwa ajili ya kuondoa huo mkosi. Yaani tuseme tu nilijifua kama gari. Mapenzi bhana!
Kilichoniwazisha, jana yake usiku nilikuwa naye somewhere tunapanga mipango ya maisha yetu ya baadae huku tunacheka na kutabasamu, idadi ya watoto tutakaokuwa nao na majina yao, tukapanga kwenda kutambulishana ukweni n.k Kisha nikampatia 30k kwa ajili ya kusuka. Nikapata denda tukaagana, kila mmoja akamwambia mwenzie asisahau kumuota
Pole mkuuπMiaka 15 iliyopita niliachwa na mwanamke niliyempenda sana na kuamini ndiye atakuwa mke wangu.
Bahati mbaya katika harakati za maisha nikapata tatizo la moyo, hali iliyoniweka hocpital kwa muda mrefu.
Nakumbuka maneno yake '' sitaki kuwa mjane mapema naomba tuachane tu''
Siku hiyo kidogo mtoa roho apite na mimi.
Ila basi tu
Asante sana Mkuu, yalikuwa maumivu makali sana lkn nilivuka salama na naendelea na maisha na sasa nina familia.Pole mkuuπ
Acha uongo π€Bora mimi sijawahi penda so sijui kuacha wala kuachwaππ
Muhimu mkuu, lazima mamb mengine yaendelee.Asante sana Mkuu, yalikuwa maumivu makali sana lkn nilivuka salama na naendelea na maisha na sasa nina familia.
ππππkwa nini iwe uongo mkuuπ€πAcha uongo π€
Nimeguess tuππππkwa nini iwe uongo mkuuπ€π
ππNi guess tu