Dah mimi ilinitokea jana tu. Mambo yaliyotokea yule demu ni mpuuzi kweli elimu ya Tanzania inashida haiwezekani mtu amalize form 4 awe na uelewa mdogo vile.
Madem zangu wote ambao hua naachana nao, hua tunaachana kwa vigezo cha kutaka pesa sana, yaani pesa anataka ila migegedo kutoa inakuwa mbinde. Me nikinyimwaga migegedo hua najikataa mazima hata Hi huwa siitaki!!
Mi mara zote nikiwachoka huwa nawagonganisha wenyewe kwa wenyewe kinachofuatuiia ni tifu ya maneno au ngumi..halafu kuna atakayesusa hivyo atakayebaki naendelea naye. Kama ni yuleyule niliyemchoka nitamgongesha tena na tena mpaka akimbie.
Mi mara zote nikiwachoka huwa nawagonganisha wenyewe kwa wenyewe kinachofuatuiia ni tifu ya maneno au ngumi..halafu kuna atakayesusa hivyo atakayebaki naendelea naye ..kama ni yuleyule niliyemchoka nitamgongesha tena na tena mpaka akimbie