Alikua anaomba ela ovyo ovyo..
"All the gods, all the heavens, all the hells are within you"
Siku ukihitaji ni kukumbusha tuMimi huwa nikimchoka nakausha tu mana kuna siku simba hukosa minofu ula majani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kuachana kwa faida na kuachana kwa hasara.Ujuzi gani kwenye kuachana?
Kuachana ni kubomoa, hakuna faida kwenye hilo swala.
Kuna ubomoaji nzuri. Itakusaidia baadae ukiamua kurudi, unajichapia bila shida.
Kumbuka ni wale ambao huna malengo nao.
Unadum na dem Hata kwa miaka 20+
Sent using Jamii Forums mobile app