Ulevi Noma jamani

inawezekana kabisa aliliwa kwanza kabla ya kuachwa hivyo
 
Tabu zingine bwana! Kwa mtindo huu,huyu bwana anatafuta stress.
 


Hapo jamaa yupo HoLwood kwenye casino la nguvu na kina PAFU DADI.
 
naona jamaaa kalala kwenye kochi, ngoja pombe ziishe hata amini kuwa amelala hapo
 
Confirmed! Pombe sio chai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yawezekana ni Strock,mtu amekufa nyie mnasema pombe! Lakini kama ni pombe jamaa ametia kichefuchefu......
 
daaaa huyu noma,mbona mzigo kaweka juu kama mfuko wa shati...? au wa2 washajilia vyao....!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…