B barite JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 227 Reaction score 120 Sep 28, 2013 #1 Mlevi moja alipanda daladala konda akamwambia kwa hiyo tabia yako ya ulevi huwezi kufika mbinguni,mlevi akajibu kumbe mnaenda mbinguni nishushe kwani sikujua mi ninaenda kilabuni. wish u weekend njema
Mlevi moja alipanda daladala konda akamwambia kwa hiyo tabia yako ya ulevi huwezi kufika mbinguni,mlevi akajibu kumbe mnaenda mbinguni nishushe kwani sikujua mi ninaenda kilabuni. wish u weekend njema
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 Sep 28, 2013 #2 Hahahahahahah