Messi alishawahi kugoma kutoka uwanjani unakumbuka hili?? tetesi za kupanga kikosi cha Barca pia ushawahi kuzisikiaHivi kutolewa dakika ya 70 kwani tatizo? hivi nyinyi wengine huu mchezo wa mpira mnauchukulia vipi? mchezaji yoyote anaemuona hatolewi uwanjani ana matatizo yake binafsi tu. CR7 ukitaka kumueka bench lazima kocha uandae risala na mabembelezo mpaka aridhike hayo ndio moja yaliomshinda zidane madrid. Yeye ndio kocha lakini kuna wachezaji akiwaeka bench au akiwafanya sub wanakwenda kwa Perez kulalamika. (Ronaldo na Bale). na Allegri hawezi kumtoa wala kumuweka nje Ronaldo.
Haya sikama yeye ndie hafanyi vibaya kwenye mchezo ila ndio hivo tu tena. Hivi mechi ya Jana ya Torino au ya Young Boys kun akipi alichikuwa akikifanya uwanjani Ronaldo cha kumfanya amalize dakika 90? Yeye ndie alikua ndie weakest link kwenye timu kule mbele.
Hivi unafikili Messi kwa uwezo aliojaaliwa atashindwa ku shine akijiunga na
PSG
MAN CITY
BAYERN
???????????
Ohoooo,ndio aende sasa ili na sisi tusiomkubali tuamini na tumkubali,hatujawahi kumuona akiperform vile vile nje ya mazingira aliyoyazoea,huku kulazimishana nimkubali wakati sijawahi kumuona huko kwingineko kamwe siwezi kumkubali mkuu.
Kama anajiamini anaweza kufanya vizuri nje ya barca amove basi ili tumpe uchezaji bora wa dunia ambao haujawahi kutokea tokea Dunia iumbwe mkuu
U are so smart mkuu,umemjibu vizuri sanaCR7 ata asipofunga goli miezi sita uborawake hauwezi fananishwa na mchezaji yeyote kwasasa kwakua rekodi zake katika soka itachukua miaka mingi kuvunjwa na wachezaji waliopo. Ni kama alivyokua bondia Mike Tyson, watapita mabondia wengi ila alichofanya Tyson kwenye ngumi na namna alivyokua aki wakabili wapinzaniwake itachukua miaka mingi kupata mtu kama Tyson au Jordani kwenye Kikapu.
Mbona andunje game kibao anapoteaKwa walioangalia game Ya Juventus Na Young Boys Juzi ambapo kama kawaida Cr7 Ameanza mwanzo mwisho
Cha kuuliza hapa watu wanapata wapi uthubutu wa kulinganisha uwezo wa Messi Na Christian Ronaldo ?
Mechi ile Juve walitanguliwa kwa goli 2-0 kwa kipindi kirefu cha mchezo na Cr7akikosa nafasi za wazi yeye na kipa takriban mara 4 au 5...hadi dakika za 70+ kocha alipomuingiza Dybala ambaye ndiye aliyekuja kubadili matokeo na game kuisha kwa sare ya 2-2.
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya Messi Na Ronaldo.
Ndugu kikubwa uwezo !!! Wewe hapo shughuli unazofanya na umaahiri wako hapo ulipo Je utapungua ukihamia Mwanza ? Au Arusha ? Au Lindi ?
Hata game ukute hukuangalia[emoji3][emoji3]OK hivi lile lΓ pili lilikataliwa ?
Messi alishawahi kugoma kutoka uwanjani unakumbuka hili?? tetesi za kupanga kikosi cha Barca pia ushawahi kuzisikia
hiyo ndiyo kadhia ya wachezaji wakubwa
ngoja kwanza nakuja kukujibu maana nasikia Mourinho katimuliwa huko sijui kweliSasa kuna jamaa zetu wengine humu hawafahamu kabisa hayo.
Kwan wewe hukuangalia game hadi mwishoOK hivi lile lΓ pili lilikataliwa ?
Hata akienda nyie hamkosagi La kusema bado maana hamkuanzia swala LA kuhama timuOhoooo,ndio aende sasa ili na sisi tusiomkubali tuamini na tumkubali,hatujawahi kumuona akiperform vile vile nje ya mazingira aliyoyazoea,huku kulazimishana nimkubali wakati sijawahi kumuona huko kwingineko kamwe siwezi kumkubali mkuu.
Kama anajiamini anaweza kufanya vizuri nje ya barca amove basi ili tumpe uchezaji bora wa dunia ambao haujawahi kutokea tokea Dunia iumbwe mkuu
Hata akienda nyie hamkosagi La kusema bado maana hamkuanzia swala LA kuhama timu
Hata akienda nyie hamkosagi La kusema bado maana hamkuanzia swala LA kuhama timu
Si lazima afunge ila shughuli yake si huwa unaiona ?Mbona andunje game kibao anapotea
Ahamie wapi wakati timu aliyo nayo ndio the best ?Ivi cr7 kuna kipi ambacho hajakifanya kweny soka ili kuprove wrong madai kama yako!!?? Huu mda wake kula pensheni. Huyo messi mwambieni ahame kwanza barca ndo tumlinganishe na 'the beast'
Ahamie wapi wakati timu aliyo nayo ndio the best ?