ule msemo wa baba riz kuwa anataka kukumbukwa wakaribia kutimia

ule msemo wa baba riz kuwa anataka kukumbukwa wakaribia kutimia

alisam

Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
19
Reaction score
2
ni mekaa nikafikiri mambo magumu na mazito ya kusikitisha yanayo tokea Tanzania nikakumbuka msemo wa yule msanii wetu babariz kuwa anataka kufanya mambo ambayo lazima watu wamkumbuke pindi atakapo acha kujivinjari kwenye lile shamba la bibi, sasa nashindwa kuelewa kama ndio anatimiza ile ahadi na ilani yake au bado tusubirie mazito zaidi ya haya?
:juggle:
 
Huna hoja lala mbele.mijitu mwingine bwana inatupotezea time tu.u
 
Back
Top Bottom