Ulaya wasikitishwa mchakato Katiba

Ulaya wasikitishwa mchakato Katiba

lidoda

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2008
Posts
641
Reaction score
576
UMOJA wa Ulaya (EU), umesikitishwa na Tanzania kutoitumia fursa ya uundwaji wa Katiba mpya kuiondoa adhabu ya kifo.

EU, imeeleza hayo jana katika taarifa yake kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku ya kupinga adhabu ya kifo na kueleza kuwa, itaendelea kupaza sauti hadi adhabu hiyo itakapofutwa.

Pia, EU imeeleza kuwa Tanzania bado ina nafasi ya kuiondoa adhabu hiyo katika katiba pindi itakapopigiwa kura.

EU na Baraza la Ulaya, limeeleza kuwa baada ya kutiliana saini na kuunganisha nguvu, watahakikisha wanaendelea kupinga adhabu hiyo katika kesi zote ili dunia iikomeshe na kulinda ulinzi wa haki za binadamu.

Umoja huo umeeleza kuwa jumuiya hiyo italinda na kuhakikisha hakuna mwanachama anayetumia adhabu hiyo na kuleza kuwa mwaka huu idadi ya watu waliohukumiwa adhabu hiyo imeongezeka.

Aidha, EU imetoa wito kwa kwa nchi za Afrika kuendelea kukubali itifaki na mikataba ya kutetea haki za binadamu na kukomeshwa adhabu.

Pia, EU iliyapongeza mashirika mbalimbali ya kiraia yanayofanyakazi ya kutaka kupingwa kwa adhabu hiyo na kuyataka yaendeleze juhudi za kuhamasisha.

Walieleza kuwa tangu Tanzania ipate uhuru imekuwa ikitiliana mikataba inayohusu kutetea haki za binadamu ndani ya mfumo wa Umoja wa Afrika na pia ni mwanachama wa Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa (ICCPR), na Mkataba wa Kimataifa wa Uchumi, Jamii, na Haki za Kitamaduni (ICESCR).

Adhabu ya kifo hapa nchini mara ya mwisho ilitekelezwa mwaka 1995, na kwa upande wa nchi nyingine adhabu hiyo imekuwa ikiendelea kutolewa huku taarifa zikitaja idadi ya vifo kufikia 778 ikiwa ni ongezeko la asilimia 15, ambako Iran na Iraq zinaongoza.

Nacho Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimetaka kurekekebishwa kwa ibara ya 33 katika katiba pendekezwa inayoruhusu kuendelea kwa adhabu ya kifo.

Wito huo ulitolewa jana na Kaimu Mkurugenzi wa kituo hicho, Imelda Lulu Urio, wakati alipokuwa akitoa tamko lao kuhusu maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani inayofanyika kila mwaka ifikapo Oktoba 10.

Urio, alisema wanasikitishwa kuona kuwa licha ya kuwepo kwa kampeni ya kufuta adhabu hiyo, bado imeendelea kuwepo katika katiba iliyopendekezwa ambayo imepitishwa na Bunge Maalum la Katiba hivi karibuni.

"Ibara ya 33 inasema kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka katika jamii, hifadhi ya maisha yake kutoka katika serikali na jamii kwa mujibu wa sheria za nchi.

"Pia katika Ibara ya 95(1)(c)imempa Rais mamlaka ya kubadilisha adhabu ya kifo kuwa adhabu ya kifungo cha maisha.

Kwa maana hiyo, bado katiba hii pendekezwa inaendeleza uwepo wa adhabu ya kifo kikatiba, ambayo ni kinyume na haki za binadamu hususani katika karne hii ambayo nchi nyingi zimefuta adhabu.

Hata hivyo alisema katika kuadhimisha siku hiyo, Kituo kinashauri Ibara ya 33 ya katiba pendekezwa kufuta na kuondoa kabisa neno kwa mujibu wa sheria za nchi ili kuhakikisha kuwa haki ya kuishi inakuwepo bila pingamizi au kuminywa na sheria yoyote.

Pia Mkurugenzi huyo alitaka Tanzania kujifunza kwa nchi nyingine duniani ambazo hazitekelezi adhabu ya kifo ni kwa jinsi gani zimekuwa zikishughulikia watu wenye makosa ya kuua.

Source:Tanzania Daima
 
mtu akitaka kujua umuhimu wa adhabu ya kifo angalie mauaji aliyofanya serial killer TED BUNDY(Theodora bundy)...mtu kama yule huwezi kumuacha aish
 
Taifa bado linawatanzania wajinga kama wewe hao wazungu ndiyo bwana zako wa kuendesha maisha yako mpaka ukae unaweka maandiko yao humu kweli watumwa mpo wengi.
 
Yaani yoooote ya umuhimu yaliyotolewa au kutojumuishwa ktk katiba wao wameona hilo tu. Pumbavu kabisa, wanataka makuwadi wao wa ufisadi tuwe tukiwaacha tu bila kuwa-chinalize?
 
Yaani katiba ingesema hukumu ya ufisadi na uccm wa bmk ingekuwa kifo basi ningeshangilia
 
Taifa bado linawatanzania wajinga kama wewe hao wazungu ndiyo bwana zako wa kuendesha maisha yako mpaka ukae unaweka maandiko yao humu kweli watumwa mpo wengi.

Mtumwa number moja ni huyo anayekesha marekani na ulaya kila siku na bakuli lake la kuomba misaada ilhal akijua kabisa huwezi endelea kwa kuomba omba. Disgusting
 
Taifa bado linawatanzania wajinga kama wewe hao wazungu ndiyo bwana zako wa kuendesha maisha yako mpaka ukae unaweka maandiko yao humu kweli watumwa mpo wengi.
Hebu soma hizi nukuu halafu ujitetee

"Siku moja akitokea kiongozi wa Taifa letu akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu" - Mwl J. K Nyerere.

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa anajidanganya. Narudia tena, katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada anajidanganya" - Benjamin Mkapa

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu. Unachotakiwa ni kujieleza wakikuelewa watakupa." - Jakaya Kikwete.
 
Kweli umempa vidonge vyake. Yaan huyu anadhani ulaya wakisema jambo basi wao wako sawa kila kitu. Basi awe shoga kama anaamini sana katika wanzungu so ni kati ya wanayotaka afrika tuyachukue bila kutafakari.
 
Angeongelea mengine wao kila uchao wanaua watu kwa vita na wenzao US halafu anabana pua nini hapo??!!!
 
Taifa bado linawatanzania wajinga kama wewe hao wazungu ndiyo bwana zako wa kuendesha maisha yako mpaka ukae unaweka maandiko yao humu kweli watumwa mpo wengi.
Wewe kama unamsema JK sawa . ni rais pekee wa kiafrika naeweza kufanya ziara Marekani na kukaa huko kwa wiki tatu akiombaomba. b...d hell
 
Hebu soma hizi nukuu halafu ujitetee

"Siku moja akitokea kiongozi wa Taifa letu akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu" - Mwl J. K Nyerere.

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa anajidanganya. Narudia tena, katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada anajidanganya" - Benjamin Mkapa

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu. Unachotakiwa ni kujieleza wakikuelewa watakupa." - Jakaya Kikwete.
Ndiyo maana Nyerere alimkataa jk na jk hampendagi Nyerere.
 
Hebu soma hizi nukuu halafu ujitetee

"Siku moja akitokea kiongozi wa Taifa letu akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu" - Mwl J. K Nyerere.

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa anajidanganya. Narudia tena, katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada anajidanganya" - Benjamin Mkapa

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu. Unachotakiwa ni kujieleza wakikuelewa watakupa." - Jakaya Kikwete.

Dah hii hatari sana! Ngoja mm nilale maana leo ni jmos, aliyeleta hii nukuu jtatu nkienda kazini ntakutupia like za kutosha
 
Hiyo adhabu ya kifo iondolewe baada ya kuhukumiwa Sita.
 
Taifa bado linawatanzania wajinga kama wewe hao wazungu ndiyo bwana zako wa kuendesha maisha yako mpaka ukae unaweka maandiko yao humu kweli watumwa mpo wengi.
Pamoja na kutokubaliana na yaliyotokea BMK, lakini ni vema tusiwape mwanya hao EU kuingilia kati mambo yetu ya ndani.
Itakuwa sawa na kujiruhusu kutawaliwa kifikra, jambo ambalo Nyerere aliliondoa miaka mingi iliyopita.
 
Hebu soma hizi nukuu halafu ujitetee

"Siku moja akitokea kiongozi wa Taifa letu akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu" - Mwl J. K Nyerere.

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa anajidanganya. Narudia tena, katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada anajidanganya" - Benjamin Mkapa

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu. Unachotakiwa ni kujieleza wakikuelewa watakupa." - Jakaya Kikwete.

Safi sana mkuu, umelishika pabaya hili jamaa, yan haliwezi kupangua hiyo hoja
 
Taifa bado linawatanzania wajinga kama wewe hao wazungu ndiyo bwana zako wa kuendesha maisha yako mpaka ukae unaweka maandiko yao humu kweli watumwa mpo wengi.

sijawahi kuona POST YA KUTIA AIBU KAMA HII tangu nizaliwe !
 
Wewe kama unamsema JK sawa . ni rais pekee wa kiafrika naeweza kufanya ziara Marekani na kukaa huko kwa wiki tatu akiombaomba. b...d hell

Halafu tunajivunia tunaongozwa na wanaume!
 
Mmmh hiyo vita usiianze maana hao wanawake wachache walioaminiwa tu mambo yao hata wewe umeshuhudia, tuangalie uwezo zaid kuliko jinsia!!!

Huwa unaangalia luninga? ?!!!
 
Yawezekana aangalii....
 
Back
Top Bottom