wazungu kwa mda mrefu wamekuwa wafadhili wa vikundi vya uasi ktk serikali mbalimbali dunian. mara hii wameonja ladha ya shida waliyokuwa wanawapatia jamii mbalimbali dunian, vita ya syria hakika imewapa darasa. mimi nimefurah sijui wenzangu kwa kuwa wameonja joto la jiwe
Mkuu Syria walitengeneza iwe hivyo... a moment walipotaka kuachana na utegemezi wa Gas ya Russia wakataka kuchukua Gas from Qatar ambapo bomba lingejengwa kupitia Syria ... walitaka kwanza kumng'oa Asad ili deal lao lifanikiwe bila masharti magumu... Russia nae kashtukia Deal akaaza kumsupport Asad huku wakiingia deal lingene ambalo wazungu hawakujua kuwa Putin ana maamuzi magumu kuliko ya kujenga bomba la Gas hadi CHINA!!! Ulaya wakahamaki, wakaanza kufanya kila aina ya Hujuma kwa Syria hadi hapo lengo lao litakapo fanikiwa .. German so far ndo wamekubali kuwachukua wakimbizi wengi zaidi .. lets wait n see ... I wish CCM wangejua game la Dunia hii ..
Mkuu, acheni kucheza na hiki kitu "Mungu" unajua hawa wazungu wanazivuruga hizi nchi wakitaka kuweka viongozi wao hebu angalia Libya, Iraq, Afghanistan na sasa wanajaribu Syria,bila kujua viongozi wale wamewekwa na Mungu wanaouwezo wa kutuliza nchi zile, leo wamezivuruga nisawa nakubomoa shimo la siafu, nini kitatokea.... lazima watasambaa kutafuta hifadhi, walikuwa wanaishi vizuri kwenye nchi zao,, wanakula, wana lala, sasa kinachotokea wanataka kuhamia Ulaya, mimi imenifurahisha sana manake haya mataifa makubwa hususani Marekani washenzi sana...angali sasa wana taka sisi wote tuwe ma-ANTI.....shenji yao mafuta yenyewe wanayoyatamani yanachimbika sasa?, na bado, Mungu mkubwa, leo wakimbizi wanakimbilia Ulaya.
wazungu kwa mda mrefu wamekuwa wafadhili wa vikundi vya uasi ktk serikali mbalimbali dunian. mara hii wameonja ladha ya shida waliyokuwa wanawapatia jamii mbalimbali dunian, vita ya syria hakika imewapa darasa. mimi nimefurah sijui wenzangu kwa kuwa wameonja joto la jiwe
Wamechoka kupigwa mabomu na wazungu sasa wameamua waende huko huko. Usijali watabadili utamaduni, watavaa suti na tai na vimini.Hao wasyria walitakiwa waende Saudis,Iran,Kuwait Na Dubai.huko ndio kwa kuwa wana utamaduni sawa
Ulaya watapata shida
Mbona hiyo idadi ni ndogo sana kulingana tunaowapokea hapa Tz tena bila masharti.