bakundande jr
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 507
- 674
Tatizo ni teknolojia ama wasimamizu?Ukitaka kujua kuwa wenzetu wapo serious jezi wametoa mwezi wa tano, mechi tatu/mbili za mwisho za msimu 22/23 wamecheza na jezi mpya za msimu ujao 23/24.
Bongo tuna subiri mwezi wa nane, wengine siku moja kabla ya mechi unaambiwa mzigo upo Ethiopia unapigwa pasi.
Wasimamizi wa timu,wanaona raha watu wanavyo panga mistari mirefu wengine wanagombana kisa jezi mpya,halafu sometimes jezi chache watu wengi.Tatizo ni teknolojia ama wasimamizu?
Kiufupi wanaona watu wakijazana kwenye foleni ndio timu kuwa na mashabiki wengi na ndio kukubalika kwa timuWasimamizi wa timu,wanaona raha watu wanavyo panga mistari mirefu wengine wanagombana kisa jezi mpya,halafu sometimes jezi chache watu wengi.
Hapa kwetu sijui kwanini masuala yote muhimu yanaendeshwa kisanii sanii!Ukitaka kujua kuwa wenzetu wapo serious jezi wametoa mwezi wa tano, mechi tatu/mbili za mwisho za msimu 22/23 wamecheza na jezi mpya za msimu ujao 23/24.
Bongo tuna subiri mwezi wa nane, wengine siku moja kabla ya mechi unaambiwa mzigo upo Ethiopia unapigwa pasi.
Hii inatokea pale ambapo hisiq zinaitawala akiliHapa kwetu sijui kwanini masuala yote muhimu yanaendeshwa kisanii sanii!
Kule hakuna wapiga feki.Ukitaka kujua kuwa wenzetu wapo serious jezi wametoa mwezi wa tano, mechi tatu/mbili za mwisho za msimu 22/23 wamecheza na jezi mpya za msimu ujao 23/24.
Bongo tuna subiri mwezi wa nane, wengine siku moja kabla ya mechi unaambiwa mzigo upo Ethiopia unapigwa pasi.
Siku hizi hakuna ujamaa bali kuna division of labour...Bandari inauzwa vijana wanadiscus mipira tu, huu ni ufala
Naona maafisa wengi wameingia likizo[emoji1787][emoji1787]Hii ni habari njema kwa mafisa ubashiri.
Yan mpk wanatia huruma, likizo ya lazimaNaona maafisa wengi wameingia likizo[emoji1787][emoji1787]
Mzee ukiweka hvyo na ikatoa muhindi lazima afunge kampuni.Weka laki moja Burnley anachukua ubingwa uone maajabu ya musa unaenda kununua kijiji pale OT