Ulaya Bana

Sipendi hata kuona huo mchezo, its terrifying.
 
Kwa kweli huu mchezo huwa sijui unafikisha ujumbe gani kwa jamii.Kwa kifupi siuelewi
 
mchezo wa ukwe e huo, na ninapenda sana kuucheza,
 
Ndo inayofanya wanae wanapishana mlango wa chooni!!!
 
Mkuki kwa ng'ombe kwa binaadam?

Inanikumbusha Ulimboka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…