Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
hapa hatupo kwaajili ya kubishana bali tupo kwa ajili ya kufundishana na kujuzana.
hivi gari kuwa na nguvu kubwa mfano kuwa na speed kubwa kunahusiana na cc??
sasa kama unaenda mbeya si utakeshaaa na hio speed kisa ubanie mafuta. Sometimes naonaga hakuna sababu ya kumiliki gari kama utaliendesha kwa masharti, hivi vitu tuwaachiege wazungu tu!Economical 40 - 110 Km/hr
ni kweli mkuu hiyo kitu inaitwa mapping kama inavyofanyika kwenye magari ya mashindano sema balaa jingine ni kwenye speed ndogo itakutesa sana mda wote yatakiwa uwe mbio mbio tuuMagari yanatumia mafuta sana ukiendesha spidi ndogo chini ya 50km/h au yakienda spidi kubwa sana zaidi ya 120km/h. Optimal speed kwa magari ya petroli yanye injini sizozidi lita 3.6 ni 80km/h ambapo ndipo mafuta yanajichanganya sawasawa na oxygen na kuungua kikamilifu bila hata kutoa masizi yoyote. Iwapo unategemea kuwa unaendesha spidi za juu tu, yaani zaidi ya 110km/h muda mwingi, kuna ufundi wa kuprogram upya Engine Control Unit ya gari kusudi iruhusu injini kuvuta hewa nyingi muda wote, lakini utakuwa unatumia mafuta sana unapokuwa spidi za chini; vile vile kuendesha kwa muda mrefu katika spidi za chini kunaweza kusababisha injini kunoki. Watengeneza magari wengi wanaficha Engine control unit zao kusudi watu wasibadilishe program, lakini wajanja wanajua jinsi ya kupenyeza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa sawa mkuu hapo umenea.sasa kama unaenda mbeya si utakeshaaa na hio speed kisa ubanie mafuta. Sometimes naonaga hakuna sababu ya kumiliki gari kama utaliendesha kwa masharti, hivi vitu tuwaachiege wazungu tu!
Wengine wanafungua madirisha wapigwe na vumbi, dah!!!
Mkuu hukiishia juu juu tu kuhusu engine control unit utakuwa hujauetendea haki huu uzi...Magari yanatumia mafuta sana ukiendesha spidi ndogo chini ya 50km/h au yakienda spidi kubwa sana zaidi ya 120km/h. Optimal speed kwa magari ya petroli yanye injini sizozidi lita 3.6 ni 80km/h ambapo ndipo mafuta yanajichanganya sawasawa na oxygen na kuungua kikamilifu bila hata kutoa masizi yoyote. Iwapo unategemea kuwa unaendesha spidi za juu tu, yaani zaidi ya 110km/h muda mwingi, kuna ufundi wa kuprogram upya Engine Control Unit ya gari kusudi iruhusu injini kuvuta hewa nyingi muda wote, lakini utakuwa unatumia mafuta sana unapokuwa spidi za chini; vile vile kuendesha kwa muda mrefu katika spidi za chini kunaweza kusababisha injini kunoki. Watengeneza magari wengi wanaficha Engine control unit zao kusudi watu wasibadilishe program, lakini wajanja wanajua jinsi ya kupenyeza.
Unajua mengi aisee ila ungefanya tukajua hiyo max torgue inatafutwaje. Mfano mi natumia lexus gs300. Inasoma 260km/h max. Sasa nitaijuaje? Au narud kugoogle specifications!mwendo mzur ni kujua wap injin yako ina tengeneza max torque yake mfano mdogo nikupe kweny piki pik aina ya boxer max torque ni 12.26nm @ 5500rpm hvy tafuta spid itakayo kuwepo kwa gia ya mwisho as boxer ina gia 4 piga ratio ya gia zake utapata spid 66kph hvo ukiwa spid hyo kwa boxa ndo inakuwa inakula mafuta kidogo kuliko spid yeyote ile...........hvo kwa mweny gar cha kufanya ni kujua wap injin yake inaproduce max torque
sasa kama unaenda mbeya si utakeshaaa na hio speed kisa ubanie mafuta. Sometimes naonaga hakuna sababu ya kumiliki gari kama utaliendesha kwa masharti, hivi vitu tuwaachiege wazungu tu!
Wengine wanafungua madirisha wapigwe na vumbi, dah!!!
Loh sasa chukulia una Land Cruiser Vx V8 yenye max 260km/hr on dash unautafuta mkoa. Utaendeshea 110km/hr safari nzima ikiwa ni mkandamizo wa ndani ya sekunde 8 tu? Je, 110km/hr hapo utasema ni speed kubwa bado.Speed ya 110 sio ndogo hata kidogo hata kama unakwenda wapi.
Si kila ukienda Mbeya ni safari ndefu, inategemea unatokea wapi!sasa kama unaenda mbeya si utakeshaaa na hio speed kisa ubanie mafuta. Sometimes naonaga hakuna sababu ya kumiliki gari kama utaliendesha kwa masharti, hivi vitu tuwaachiege wazungu tu!
Wengine wanafungua madirisha wapigwe na vumbi, dah!!!