nimekuwa interested hapo,Kinachokumaliza ni hiyo 20w-50 ndio mana consumption iko juu... ukitaka kuamini weka castro 5w-30 utaona tofauti mimi nilifanya makosa hayohayo nilimwaga oil iliokuja na gari nikajichanganya nikaweka 20w-50 lita sita engine ya V6 ndani ya siku moja tu nilianza kuona gari imekuwa nzito na mafuta yanakwenda haswa nikaingia hasara nikaimwaga na kubadili hadi filter nikaweka castro 5w-30 recommended aisee raha sana gari nyepesi sana mafuta kiduchu nasafiri mkoani safi na ni km 10000 ila kwasasa nimeshafagia km 6000 nataka next week nitoe niweke mpya
Hukupaswa kubadili gearbox oil...engine oil weka recommended oil not otherwise.
Gari ya CC1300 consumption rate yapaswa kuwa 1lt kwa 10km to 15km....city and highway respectively
Kama mdau alivyosema hapo juu, hiyo specification ya oil ndio inakumaliza. Ishanikuta pia kwenye gari la 1.8cc. Niliweka oil ya 20w-50, niliishia kuimwaga kabla ya wakati. Weka recommended oil. Hiyo ya 20w-50 nilitembea 200km tank likaisha, baada ya kubadili, nikaenda 400km na gari kuwa nyepesi.Kuna fundi nimempelekea leo anasema zitakua Plugs inabidi zibadirishwe hili nalo vipi wadau/
hayo maswala mengine hajaongelea kabisa
Kinachokumaliza ni hiyo 20w-50 ndio mana consumption iko juu... ukitaka kuamini weka castro 5w-30 utaona tofauti mimi nilifanya makosa hayohayo nilimwaga oil iliokuja na gari nikajichanganya nikaweka 20w-50 lita sita engine ya V6 ndani ya siku moja tu nilianza kuona gari imekuwa nzito na mafuta yanakwenda haswa nikaingia hasara nikaimwaga na kubadili hadi filter nikaweka castro 5w-30 recommended aisee raha sana gari nyepesi sana mafuta kiduchu nasafiri mkoani safi na ni km 10000 ila kwasasa nimeshafagia km 6000 nataka next week nitoe niweke mpya
nimekuwa interested hapo,
cjaelewa vizur hzo code, tofauti ya 20w-50 na 5w -30 ni ipi,
ipi ni nzur kwa gari ndogo kama starlet..
shukran
Gari yako injini yake inaitwaje?nimekuwa interested hapo,
cjaelewa vizur hzo code, tofauti ya 20w-50 na 5w -30 ni ipi,
ipi ni nzur kwa gari ndogo kama starlet..
shukran
5w30 ni nyepesi kuliko 20w50..nimekuwa interested hapo,
cjaelewa vizur hzo code, tofauti ya 20w-50 na 5w -30 ni ipi,
ipi ni nzur kwa gari ndogo kama starlet..
shukran
5w30 ni nyepesi kuliko 20w50..
Hivyo inashauri wa kwa nchi zenye baridi sana nywkati za asubuhi na joto kali mchana utumie 5w 30..
Wepesi wa oil hii unafanya kufika sehemu za engine kwa urahisi zaidi pale unapowasha gari wakati engine imepoa..
Pia 5w30 ina viscosity nzuri zaidi na inahimili joto kali zaidi la engne na inahimili baridi kali..
20w 50 ni oil maalum kwa mazingira ya nchi zenye joto kali kuliko joto la Dar..
nchi kama huko Uarabuni nk.
Hivyo wepesi wa 5w30 unafanya engine yako ifanye kazi kwa wepesi zaidi ndiyo maana inasaidia kwenye fuel economy.
Wengine wataongezea
Nimepata somo zuri,naenda kumwaga oil 20w50,nakubadili oil filter.this statement is very true, faced the same issue nlibadili oil na kuweka ile ambayo haikuwa recommended kwenye gari, nikachange na kuweka inayotakiwa (Catrol 5W-30) and the changes were amazing, japo castrol yenye hiyo viscosity rating ni bei ndefu
Mkuu nami nimejifunza hapa, jf ni shule tosha, nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini huu ulaji wa mafuta umeongezeka, kumbe engine oil inachangia. Nitahamia Castrol oil maana hata oil ya gear box natumia Castrol kwa sasa, sikuwahi kujua tofauti ya 5w30 na 20w50 kwa kweli.Nimepata somo zuri,naenda kumwaga oil 20w50,nakubadili oil filter.
Hiyo 5w30 inapatikana kwenye ujazo gani?na ni bei gani?
Binafsi huwa natumia Total quartz 9000 5w 30..kuna ujazo wa lita 1 na lita 4.Nimepata somo zuri,naenda kumwaga oil 20w50,nakubadili oil filter.
Hiyo 5w30 inapatikana kwenye ujazo gani?na ni bei gani?
Tanzania tuna tatizo kubwa la mafundi....Mafundi wetu hawapendi kusoma au hata kugoogle info ambazo zitasaidia kukuza ujuzi wao..THIS KIND OF INFORMATION wengi hawana. na hili ni jambo ambalo wengi linawapa shida sana.so ni vizuri watu wapewe hii elimu waelewe umuhimu wa matumizi haya ya oil na viwango vyake. mimi mwaka flani nilikuwa na gari ndogo ambayo imeandikwa kabisa kuwa engine oli yake ni 5W 40 But nikawa nmeenda kwa muuzaji flani POSTA akanishauri ninunue 20W 50 akisema kwa kuwa engine imetembea kms zaiodi ya 150,000 then nibadilishe oil. kuwa itakuwa engine nayo inaelekea kuchoka. but nilijaribu sana kuangalia views za watu wengine kwenye mitandao kama zitasema kitu kama hicho kwa wenzetu sikuwah pata.
so i bought the recommended one 5W 40.