Ulaji huu unafaa?

Hapo calories zake si mchezo, inafaa Kula lakini sio Kwa Kila siku. Hata hivyo Bora hicho Chakula kuliko hizi junk foods za restaurant zetu.....Siku hizi ni Bora ule ugali wako wa Dona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…