Ukweli wa maisha yako

Ukweli wa maisha yako

Joined
Oct 10, 2014
Posts
6
Reaction score
4
Ukweli ni kwamba watu wengi wanataka mabadiliko, wanataka kuona mabadiliko kwenye maisha yao, wanataka kuona uwezo wao wakuhudumia maisha yao pamoja na familia zao ukiongezeka, watu wanataka kuona changes kwenye pato lao, wanataka kuona kipato chao kikiongezeka katika kiwango ambacho kitawawezesha kutimiza ndoto zao. Na kwasababu ya hayo watu wamejalibu na wanaendelea kujaribu, wamejaribu kuanzisha biashara,wamejaribu kubadilisha ajira, kutoka kazi moja kwenda nyingine, wamejaribu lamda kurudi shule waongeze cheti ili wapate promotion kazini itakayo waongezea kipato,wengine wakapata ushauri wkaambiwa labda ukihama nchi na kwenda nchi za watu ughaibuni kule maisha yatakuwa powa, watu wakajaribu bwana wakatafuta visa waka kwea pipa wakahama nchi, wamejaribu bwana na wanaendelea kujaribu, wengine wakajiunga na SACCOS wakaambiwa huku kuna mkopo nafuu ukichukua utakusaidia kukwamua maisha yako, wamejaribu kwa kweli, wengine wakakutana na networking market, wakaambia huku ndiko kwenyewe, matatizo yako yale ya kifedha huku ndiko kwenyewe utapata uhuru wa kifedha, watu wakaingia wakajaribu, hadithi hii inaweza kuendelea mpaka kunakucha, na ujumla wake inaipa uzito hoja yangu kwamba WATU WAMEJARIBU NA WANAENDELEA KUJARIBU BANAA!

Lakini wewe ni shahidi wa wewe mwenyewe na wa watu wengine kwamba pamoja na jitihada zote hizi watu wanazofanya, pamoja na hatua watu wanazochukua, bado maswali ni mengi zaidi ya majibu, some thing is missing, matokeo nitofauti na yale waliyo tarajia, MAMBO BADO NI MAGUMU KWA KWELI, ukweli ni kwamba mambo hayaendi, kama yanaenda ni kwa pole pole sana, kiasi ambacho haiendani na kasi ya muda, maneno kama maisha ni magumu yamekuwa ndiyo wimbo wa kila siku, Financial struggle inaendelea, financial obligation zinaongezeka siku hadi siku, na pato la mwezi ni halikidhi kabisa obligation hizi, nakwasabu kiu ya watu ya kutaka kubadilika iko pale pale, wanaendelea kukutana na ushauri au washauri kila siku, ambao wanapo utekeleza hadithi inakuwa ni ile ile tu, matokeo yake it as if people are in a viscous cycle.

What is this "something is missing"?? where is the lost key to open up our life, ili tutoke kwenye hii viscous cycle? ndiyo maana nimeamua kuyavalia maji njuga, lazima tutoke, lazima kielekweke, hatuwezi kubaki tukiyaangalia mambo yanaharibika na sisi kuendelea kulia kiasi chakuamua ku give up, things must change, that's ability to influence change is in us, we hold the key, the missing gape is the knowledge and the techniques to open up this potential inside us, na ndiyo maana mimi niko hapa, na ndiyo maana wewe huko hapa, tuendelee kufuatana kwenye safari hii muhimu ya kueleimishana elimu hii muhimu itakayotupa uhuru wa kifedha na kuanza kuyafurahia maisha yetu.
 
Elimu yenyewe ndo hii kutusomesha habar ya matatizo bila solutions za kueleweka.
Toa ushauri tufanye nn?
 
Tuna tatizo la kushindwa kuweka mipango ktk matendo.ajabu kuna nadharia nzuri sana na hazina msaada kutokana na tatizo la mwanzo
 
Back
Top Bottom