Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,662
- Thread starter
-
- #21
Hakuna aibu tuliwahi kuipata kama kuvuta ndege na kambaTanzania Wajinga Ni Wengi Sana
By Godwin Mollel
Unafanya Mazoezi Ya Utayari Ikitokea Ajali Ya Kweli Huna Unaloweza
Unamtegemea MajaliwA Avunje Mlango Na Kasia
Kwamba ni ajali au? Dege lenyewe la mfano,hata injini halina sasa lililukaje?Watanzania tumezidi kuficha hata kitu kiko wazi kabisa....
Watu wangapi alikufa ama kujeruhiwa??Kahama ndege ilianguka wakasema ivi ivi yaani waafrika kama tumelogwa
Kahama ndege ilianguka wakasema ivi ivi yaani waafrika kama tumelogwa
Kama haina engine ilifikaje kisarawe?Kwamba ni ajali au? Dege lenyewe la mfano,hata injini halina sasa lililukaje?
Hatukuona,ila ya sasa unawez kuangalia picha kisha nawe ukatujuzaWatu wangapi alikufa ama kujeruhiwa??
😀😁😂😄😅😃😆😆😄😂😂😄😄😄Hakuna aibu tuliwahi kuipata kama kuvuta ndege na kamba
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Naanza kupoteza imani na taarifa za utayari.Habari za muda huu wakuu.
Kuna taarifa za ndege kuanguka huko mkoani Pwani (Kisarawe) zinazoleta taharuki kidogo. Je, kuna watu labda wamebahatika kushuhudia au wenye ukweli wa taarifa yenyewe?
Mamlaka imesema kuwa sio ajali bali ni mazoezi ya uokoaji pindi linapotokea suala kama hili, sasa maswali yanaibuka kutokana na mwonekano wa ajali katika picha za uokoaji:
Je, mazoezi hayo huhusisha abiria wa kawaida au ni jeshi la uokoaji pekee?
Je, zoezi linahusisha abiria kujeruhiwa au kupoteza maisha katika kukamilisha zoezi hilo?
Je wananchi hupewa taarifa za mazoezi hayo ili wajiandae kiakili maana picha zinonesha watu kujeruhiwa vibaya kama sio kufa?
View attachment 2700698
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Nchi hii tajiri sana, ina ndege za kuangusha kila siku kwa ajili ya mazoezi ya utayari.. Lakini inapotokea ajali ya kweli kina Majaliwa ndio waokoajiHabari za muda huu wakuu.
Kuna taarifa za ndege kuanguka huko mkoani Pwani (Kisarawe) zinazoleta taharuki kidogo. Je, kuna watu labda wamebahatika kushuhudia au wenye ukweli wa taarifa yenyewe?
Mamlaka imesema kuwa sio ajali bali ni mazoezi ya uokoaji pindi linapotokea suala kama hili, sasa maswali yanaibuka kutokana na mwonekano wa ajali katika picha za uokoaji:
Je, mazoezi hayo huhusisha abiria wa kawaida au ni jeshi la uokoaji pekee?
Je, zoezi linahusisha abiria kujeruhiwa au kupoteza maisha katika kukamilisha zoezi hilo?
Je wananchi hupewa taarifa za mazoezi hayo ili wajiandae kiakili maana picha zinonesha watu kujeruhiwa vibaya kama sio kufa?
View attachment 2700698
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Milladi uyo mpuuzi sana huyu
Media yake amegeuza ndio tarumbeta ya sisiem. Hivi mkoje ninyi macheckbob wahedi. So umetuona na sisi tuna akili kama zenu. Ndege imeanguka msije na stori za mazoezi.
Acheni upumbavu
Hakika umenena, wasomaji wengi wameshindwa kubaini kuwa hiyo si ndege halisi.Nawe punguani umeshindwa hata kugundua hilo kanyaboya ndege haina Engine inarukaje jiongeze akili pumbavu wewe kengeee
[emoji16][emoji16]kiukwel inafikirshNawe punguani umeshindwa hata kugundua hilo kanyaboya ndege haina Engine inarukaje jiongeze akili pumbavu wewe kengeee
Swali gani hili? Zile mashine kubwa migodini zilifikaje wakati zimetengenezwa ulaya na uchina?Kama haina engine ilifikaje kisarawe?