Ukweli usiosemwa

Ukweli usiosemwa

MUBIKU

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
284
Reaction score
388
Kifupi dunia imebadilika mnoo, ukiacha na wenzetu binadamu weupe waliotupita kiasi kikubwa ktk nyanja mbalimbali za kiuchumi, maisha, na ufikiri wa kina.

Sisi watu weusi tumefunikwa na Giza nene la ufikiri, na ubunifu katika maisha anyway hii sio lengo la mada hii.

Kikubwa nataka kusisitiza UKWELI USIO SEMWA ktk maisha hasa ktk maisha yetu kutoka kwenye familia zetu, kwa kifupi sana nitaorodhesha apo chini ili upate nafasi ya kufanya tafakuri;

I/Hakuna mwema kwenye maisha yako

Ii/Utapendwa ukiwa na kitu au manufaa ktk jamii/watu wanao kuzunguka

Iii/ Hata ufanye mema mangapi kosa moja litatumika kufuta fadhila, msaada au yote uliotenda

Iv/Umezaliwa pele ako na utakufa peke ako

V/Pesa inapendwa na kila mtu na ndio nyenzo kuu kukufikisha kwenye malengo na mafanikio yako

Vi/ Kila mtu ni mbinafsi na kwa kila jema au faida anataka ianzie kwake

Vii/ Kwenye maisha watu muhimu ni mama yako, mkeo na watoto wako tu

Viii/ Hasiependa maisha mazuri, gari, pesa , kazi, nyumba , gari nzuri , muonekano kitu chochote kilihi bora kuwa na mke / mume mzuri

Ix/ Kila kitu kinawezekana tatizo tunasikiliza wanao tukatisha tamaa, kutojitambua, jielewa , msimamo au kutothubutu ni swala la muda hakuna lilisilo wezekana

X/ Hakuna aneishi milele tunaishi na kufa mara moja tuu haina haja ya complicate kila jambo.

#Upige mwingi mama, hata Congo, Burundi na kwinginekonwalianza kama sisi#.
 
Kifupi dunia imebadilika mnoo, ukiacha na wenzetu binadamu weupe waliotupita kiasi kikubwa ktk nyanja mbalimbali za kiuchumi, maisha, na ufikiri wa kina.
Sisi watu weusi tumefunikwa na Giza nene la ufikiri, na ubunifu katika maisha anyway hii sio lengo la mada hii.
Kikubwa nataka kusisitiza UKWELI USIO SEMWA ktk maisha hasa ktk maisha yetu kutoka kwenye familia zetu, kwa kifupi sana nitaorodhesha apo chini ili upate nafasi ya kufanya tafakuri;
i/HAKUNA MWEMA KWENYE MAISHA YAKO
ii/UTAPENDWA UKIWA NA KITU AU MANUFAA KTK JAMII/WATU WANAO KUZUNGUKA
iii/HATA UFANYE MEMA MANGAPI KOSA MOJA LITATUMIKA KUFUTA FADHILA,MSAADA AU YOTE ULIOTENDA
iv/UMEZALIWA PELE AKO NA UTAKUFA PEKE AKO
v/PESA INAPENDWA NA KILA MTU NA NDIO NYENZO KUU KUKUFIKISHA KWENYE MALENGO NA MAFANIKIO YAKO
vi/KILA MTU NI MBINAFSI NA KWA KILA JEMA AU FAIDA ANATAKA IANZIE KWAKE
Vii/KWENYE MAISHA WATU MUHIMU NI MAMA YAKO, MKEO NA WATOTO WAKO TU
viii/HAKUNA ASIEPENDA MAISHA MAZURI, GARI, PESA , KAZI, NYUMBA , GARI NZURI ,MUONEKANO KITU CHOCHOTE KILIHIBORA KUWA NA MKE / MUME MZURI
ix/KILA KITU KINAWEZEKANA TATIZO TUNASIKILIZA WANAO TUKATISHA TAMAA, KUTOJITAMBUA, JIELEWA , MSIMAMO AU KUTOTHUBUTU NI SWALA LA MUDA HAKUNA LILISILO WEZEKANA
X/HAKUNA ANEISHI MILELE TUNAISHI NA KUFA MARA MOJA TUU HAINA HAJA YA COMPLICATE KILA JAMBO.
#Upige mwingi mama, hata congo, burundi na kwinginekonwalianza kama sisi#.
Ukweli upi huo usiosemwa ilihali we mwenyewe tayari umeshausema?
 
KWENYE MAISHA WATU MUHIMU NI MAMA YAKO, MKEO NA WATOTO WAKO TU
Wee jombaaa mbona Dingirai umemuweka kwa fyede hapo Arif?

Kuna Baba wanajua kupambania watoto wao Mpaka tone lao la mwisho la jasho na damu Mpaka pumzi yao ya mwisho 'Baba' anapambana kwa ajili ya mtoto wake

Usimsahau 'Baba' aise muongezee hapo

Yesu mwenyewe alisema

'Mikononi mwako Baba naiweka Roho yangu'

Mungu 'Baba'
 
wenzetu binadamu weupe waliotupita kiasi kikubwa ktk nyanja mbalimbali za kiuchumi, maisha, na ufikiri wa kina, wanaita;



THE HARD TRUTHS

1. Nobody can love you exactly like your mother.

2. A poor person has no friends.
People do not like good thoughts. They like good looks.

3. People respect the money; not the person.

4. The person you love the most, will hurt you the most.

5. Truth is simple, but the moment you try to explain it, it becomes difficult.

6. When you are happy, you enjoy the music, but when you are sad, you enjoy the lyrics.

7. Two things define you in life—Your patience when you have nothing, and your attitude when you have everything.

8. People will not remember you for all the good things you’ve done, but they surely won’t forget the few bad things you’ve done.

9. People often ask you what you do for a living so that they can estimate the level of respect to give you.

10. People enjoy to watch you suffer because they enjoy seeing your miseries so that they can feel better about themselves.

11. You can love people, but don’t expect them to love you back. Love can’t be forced.

12. Although you cannot change the world, the world can listen to your crazy jokes.

13. You only get stronger by doing hard things.
 
Una uhakika Congo, Rwanda na kwingineko walianza kama sisi.?
 
People pretend to love You now but behind they try to eliminate You.Bob
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom