Ukweli ni upi?

Ukweli ni upi?

KyemanaMugaza

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2025
Posts
270
Reaction score
415
INASEMEKANA WANAWAKE HAWAELEWEKI NA WANACHO KITAKA KWA WANAUME

Inasemekana kuwa wanawake hawajui kile wanachokitaka kutoka kwa wanaume. Ukiwa na pesa, atakuchiti kwa sababu ya muda; ukiwa na muda, atakuchiti kwa sababu huna pesa; ukiwa na nguvu, atakuchiti kwa sababu haujakuwa romantic.

Je, haya maneno ni ya kweli?

MWANAUME NAYE INASEMEKANA HAELEWEKI PIA

Ukiwa na umbo la “tako,” atataka mrembo mweupe, lakini ukiwa mweupe atakuchiti kwa sababu ya joto. Ukiwa na joto, atachiti kwa sababu hujui kuongea jinsi anavyotaka. Anasahau kuwa hakuna mkamilifu. Basi, mambo yapo hivyo!

NINI SHIDA HASA KWENYE HILI SWALA?
 
Tabia, matarajio, vipaumbele na mahitaji hubadilika kulingana na nyakati na hali ya maisha, binadamu ni kiumbe mbabaifu mno, hupapatika kabla hajapata, baada ya kupata otomatiki nafsi na umbile hujikuta vikinaifu, chukulia mfano wa mtu mwenye kiu kikali cha maji, akiyagumia na akapiga mafundo kadhaa wa kadhaa hadi kiu kukatika, baada ya hapo huwa anakuwa kwenye hali gani?
 
Back
Top Bottom