Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,757
- 729,983
Ni swali rahisi kweli lakini gumu kujibika tena gumu kweli
Je ukweli ni ithibati? Ya namna gani?
Je ukweli ni kiambishi cha kielelezo?
Je ukweli ni ushahidi wa kile kilichosemwa au kutendwa?
Je ukweli una chanzo au asili?
Je ukweli ni kitu halisi au cha kufikirika?
Je ukweli fulani upande huu hauwezi kuwa uongo upande mwingine?
Kuna hiki kiapo kinasema hivi ..."nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko..! Ni kweli gani hiyo????