Mwanaume ambae hampendi madam b haheshimu tamaa zakeMuwe mnatutafsiria.....
Wengine ni shule za majanini
amemaanisha mwanaume ambae hajawahi kumdanganya mwanamke,haheshimu hisia za huyo mwanamkeMwanaume ambae hampendi madam b haheshimu tamaa zake
Naunga mkono hojaMuwe mnatutafsiria.....
Wengine ni shule za majanini
Dah nikiona id yako napoteza guts za kuibuka pm ila nikiwa mwenyewe napanga vingiMuwe mnatutafsiria.....
Wengine ni shule za majanini
Hahhaha weMwanaume ambae hampendi madam b haheshimu tamaa zake
Kabisa.Naunga mkono hoja
Ukiona hivo ujue huna pesa....mwanaume amjiae mwanamke pm huyo ana pesa.Dah nikiona id yako napoteza guts za kuibuka pm ila nikiwa mwenyewe napanga vingi
Hahaha kwahiyo madume suruali tutaendelea kula kwa maandishiUkiona hivo ujue huna pesa....mwanaume amjiae mwanamke pm huyo ana pesa.
Sio kula maandishi tu....mtakula mpaka Ban msipojiangalia.Hahaha kwahiyo madume suruali tutaendelea kula kwa maandishi
Upo wewe mwanamkeNaunga mkono hoja
Sio kweli mkuu, hiyo ni moja ya misemo tu kama ya kwenye khanga/vijora ambayo sisi wanaume tuanitumia ili kuhalalisha mauongo yetuUshimen njoo unifafanulie huku
Sio kweli mkuu, hiyo ni moja ya misemo tu kama ya kwenye khanga/vijora ambayo sisi wanaume tuanitumia ili kuhalalisha mauongo yetu