Ukweli ni kwamba Kesi ya Freeman Mbowe imefunika kila kitu nchini Tanzania

Unaonaje kifanyike kauchunguzi ambacho itakuwa wanawahoji hao wananchi wanaelewa nini kuhusu kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema na nini kinaendelea hadi sasa kuhusu hiyo kesi?
 
Nenda huko mtaani utaona watu wapo busy kutafuta dona la kula na familia zao hiki unachokiongelea hapa kinabaki hapahapa jukwaani mtaani wa hawana habari!
Wewe imekuaje ukachomoka mbio huko mtaani kuja ku comment humu jamvini??? Familia yako haihitaji dona??? Bora ungekaa kimya!!
 
"Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni".
 

Chobingo wanaonekana Ibambasi, Idugunde, Jumbe Brown, johnthebaptist, Wakudadavuwa na binamu zao:



wakipiga chanjo 😁😁.
 
Acheni mahakama ifanye kazi msije kuja kudai haki imeminywa
 
Nenda huko mtaani utaona watu wapo busy kutafuta dona la kula na familia zao hiki unachokiongelea hapa kinabaki hapahapa jukwaani mtaani wa hawana habari!
Kama wewe Lumumba FC unakodolea macho kwa hamu sembuse Wazalendo?
 
Naona baadhi ya Wazalendo wanaomba kesi iahirishwe ili kupisha bunge , hii ni kwasababu kesi imelifunika bunge
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…