Kweli? Basi yule jamaa mwingine ametudanganya.
umeweka bom mfukoni MWA SURUALI YAKO
Kweli? Basi yule jamaa mwingine ametudanganya.
CC mkigomachadema inang'ara ktk mkoa wa kigoma.hapa niko mjini kigoma, jana tumepokea watu 10 kutoka ccm wakazi wa mlole, wamejiunga na cdm.hakuna ari yoyote kigoma kusambaratika cdm bali kuongeza wanachama.ZITTO ametuachia pakuanzia nasi tunaendeleza. kwa lipi cdm isambaratike?. subilini 2015 mtajionea. hivyo watu waache kuzusha kuwa cdm imesambaratika kgma
Mkuu hapo umewashika pabaya.matokeo ya kumzushia mwenzio kifo kumbe mzushi ndo anakufa!walianza mabosi wako kuota kifo cha CHADEMA wamesubiri mpaka wamechoka.