Ukweli ni huu kuhusu chadema mkoa wa kigoma

Ukweli ni huu kuhusu chadema mkoa wa kigoma

rfa

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
105
Reaction score
38
chadema inang'ara ktk mkoa wa kigoma.hapa niko mjini kigoma, jana tumepokea watu 10 kutoka ccm wakazi wa mlole, wamejiunga na cdm.hakuna ari yoyote kigoma kusambaratika cdm bali kuongeza wanachama.ZITTO ametuachia pakuanzia nasi tunaendeleza. kwa lipi cdm isambaratike?. subilini 2015 mtajionea. hivyo watu waache kuzusha kuwa cdm imesambaratika kgma
 
Hawa CCM wameshachanganyikiwa na hawajielewi. Kwa hiyo ili kupata nafuu ya maradhi hayo sharti waitaje CDM
 
Hakuna kitu kibaya kama kuwa MSUKULE WA LUMUMBA!! Mimi huwa nakiuliza 'hivi kati ya hawa misikule na Nguchiro ni yupi anauwezo wa kufikiri'!!? Yaani sijui wana laana wale!!??
 
kinachowakimbiza watu chadema ni uuwaji wake
Nina shaka na kiwango chako cha ufahamu,kama chadema ni wauaji ni kwanini waombe tume huru ya mahakama kuchunguza,na ni kwanini yule anayemshutumu mwenzie kuwa muuaji akatae tume hiyo wakati yeye anasema yuko safi,wananchi wa sasa sio wale wa kipindi kile kupanga foleni barabarani najua kali ili wamuone kiongozi wao akipita,wananchi wa sasa ni waelewa,tumeshitukia njama za chama cha mateja(ccm),nia yao ni kuaminisha wananchi upuuzi kama huu unaouzungumza hasa kwa mwenye akili ndogo kama wewe ukishapewa buku 7 na unga wa kubwia pale lumumba unaongea upuuzi wote,ni nani aliyetoa idhini ya wapigeni tu tumechoka?,leo ni utamu kwako lakini kesho itageuka kwako,kwani dunia ni duara wahenga walinena iko siku mzunguko utafika kwako.MUNGU AKUONGOZE KUUJUA UKWELI NA KUWA TAYARI KUUELEZA KWANI NAJUA UNAUFAHAMU UKWELI BALI UNAUFICHA KWA MASILAHI YA TUMBO LAKO NA VIZAZI VYAKO VIJAVYO.
 
kinachowakimbiza watu chadema ni uuwaji wake
Nina shaka na kiwango chako cha ufahamu,kama chadema ni wauaji ni kwanini waombe tume huru ya mahakama kuchunguza,na ni kwanini yule anayemshutumu mwenzie kuwa muuaji akatae tume hiyo wakati yeye anasema yuko safi,wananchi wa sasa sio wale wa kipindi kile kupanga foleni barabarani najua kali ili wamuone kiongozi wao akipita,wananchi wa sasa ni waelewa,tumeshitukia njama za chama cha mateja(ccm),nia yao ni kuaminisha wananchi upuuzi kama huu unaouzungumza hasa kwa mwenye akili ndogo kama wewe ukishapewa buku 7 na unga wa kubwia pale lumumba unaongea upuuzi wote,ni nani aliyetoa idhini ya wapigeni tu tumechoka?,leo ni utamu kwako lakini kesho itageuka kwako,kwani dunia ni duara wahenga walinena iko siku mzunguko utafika kwako.MUNGU AKUONGOZE KUUJUA UKWELI NA KUWA TAYARI KUUELEZA KWANI NAJUA UNAUFAHAMU UKWELI BALI UNAUFICHA KWA MASILAHI YA TUMBO LAKO NA SIO KWA VIZAZI VYAKO VIJAVYO.
 
Hawa CCM wameshachanganyikiwa na hawajielewi. Kwa hiyo ili kupata nafuu ya maradhi hayo sharti waitaje CDM

Ndani ya ccm huwezi jua yupi baba yupi mtoto yupi teja yupi mzima wote majanga. Akili ya kuanzia mwenyekiti mpaka mpiga debe ziko sawa.
 
kifo cha machadema kipo wazi, hata mtoto mdogo anajua

Watu wanajifurahisha kwa kuandika utumbo humu......kwann msiandike vitu vya maana mkaachana na ndoto hizi za mchana.....Hebu nenda kawaulize viongozi wako wakuu (JK, Mangula na Muuza meno ya tembo) nn kinachowafanya wakose usingizi...halafu jibu lake kamwambie mkeo, halafu uchukue hatua
 
Back
Top Bottom