Ukweli Mtupu

Ukweli Mtupu

sagemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
467
Reaction score
30
Ukimchukua kwa gari lako binafsi, ukampeleka Mlimani city akafanya shoping halafu ukalipia wewe... Ukamaliza ukamrudisha kwao atakwambia.
"SEE YOU BABY TAKE CARE!! Ukifika pliz call me eeh!"

Ukienda kwa daladala, huna mkwanja maneno mengi tu....
Ukishaaga naye atakwambia.
"KWAHERI MWAYA!"

**Duh! Wadada wa mjini hawatemi kiingereza burebure... Na baby nayo haiitwi hovyohovyo
 
Wanawake wa mjini hao,hata ukijamba utasikia pole baby hujaumia kweli!!!???
 
Ukimchukua kwa gari lako binafsi, ukampeleka Mlimani city akafanya shoping halafu ukalipia wewe... Ukamaliza ukamrudisha kwao atakwambia.
"SEE YOU BABY TAKE CARE!! Ukifika pliz call me eeh!"

Ukienda kwa daladala, huna mkwanja maneno mengi tu....
Ukishaaga naye atakwambia.
"KWAHERI MWAYA!"

**Duh! Wadada wa mjini hawatemi kiingereza burebure... Na baby nayo haiitwi hovyohovyo

ushaibiwa hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom