UKWELI MCHUNGU!!!!!!!

mikila miwili

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2021
Posts
563
Reaction score
562
Kwa utafiti kutoka kwangu, usio rasmi toka nikiwa advanced level, na uzoefu wangu kwa kuona, na kwa kuambiwa na baadhi ya watu, nimegundua kuwa WANAWAKE WA BONGO KARIBIA WOTE KWA IDADI YAO, hawataki mwanaume awe ambitious, focused, anayejitambua, smart na intellectual.

Mwanaume akiwa hivi hawapendi, wanataka daima wakuone haupo smart, hujiamini, huna malengo, sio ambitious n.k, hili huwapa faraja mno na furaha. Asikuambie MTU, wengi wa wanaume wanaochukiwa na wanawake basi ni wenye sifa tajwa hapo juu.

Hii ni kusema kuwa mwanamke hamuonei wivu mwanamke mwenzake tu, bali hata wewe mwanaume ukiwa na sifa tajwa hapo juu, usishangae UKAANZA KUSEMWA VIBAYA kwenye vikao vyao, iwe unafanya kazi ofisini au whatever, wanawake wamekuwa wanyama.

Nime experience on my own and my buddies, these dolls are so brutal and hypocritical tuwe makini.
 
Uzi tayari
 
Ongezea hii kwenye utafiti wako;
Ili kuepuka au kupunguza tafuta mwanamke wa kawaida bakisa ambaye amepevuka kiakili na mwenye mtazamo na malezi yanayo elekeana na wewe utaona tofauti

Lkn ukitaka wa kuonekana naye mjini ndio shida hiyo
 
Toa hela tu..mengine yeye hajali
bado hujakuwa mwanaume kamili wa kuanza kujiandaa kuingia utu uzima
mda ukifika utajua kwann wanawake wenye matako makubwa wanajibiduabidua hovyo mtandaoni kuonesha makalio yao na wewe unatafuta mke unayemtaka humpati
 
Ngj waje wenyew wanawake waseme khs hili
 
nimegundua kuwa WANAWAKE WA BONGO KARIBIA WOTE KWA IDADI YAO, hawataki mwanaume awe ambitious, focused, anayejitambua, smart na intellectual.
hakuna mwanamke wa hivyo acha Tanzania hata huko dunia kwingineko huko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…