Ukweli mchungu: Women dont like nice guys.

Ukweli mchungu: Women dont like nice guys.

kuna Gentleman wengi sana, sema maisha yanawapiga wanawake hawawataki kabisa.. na kuna wahuni wengi sana ila maisha yamewanyokea wanawake wanawagombania... pia kuna nice guy na maisha yamenyooka.. hao ndio wanawake wako tayari waende kwa mganga wawapate, na kuna bud guys na maisha yao mabovu.. kama mateja au panya road.. hao hata salamu ya wanawake hawaipati..

wanawake ukiwa na source ya income ya uhakika.. kwamba yeye na watoto atakaowazaaa watakula bata.. hapo uwe bad guy au nice guy... watakupenda tu

Sasa ole wako uwe bad guy halafu hela huna.. maisha hayaeleweki,,,, hata salamu zao uzipati..

Mkuu ishi sio kujiatach kwako, anaweza kukuganda kwa security reasons lakini huku nyuma wahuni wanatafuna mzigo. Alafu weye akawa anakuektia tu.
 
Hivi majuzi tu nimetafuna demu ambae msela wangu anamfili sana na amekua akimzungusha sana jamaa huyo demu. Ila mimi ndani ya siku 2 nimebamiza chochoroni nimepiga pipe. Msela namuonea huruma lakini acha nimtilie adabu.
Wewe ni bad au nice guy?
 
Hebu weka tofauti zao hapo tuone.... who is a right man? And who is a nice guy? Na utuambie ni kwanini nice guy hawezi kuwa right guy. Then unishauri niache kuwa nice guy ili niwe right man.
A right man is rational and a nice guy is just emotional
 
To them a nice guy means a foolish guy.

# Stop being a nice guy cause she think ur a fool.

# The best thing a woman can do to a nice guy is to put him in a friend zone because women think that " The only good thing about a nice guy is that they are ' just nice' and nothing more.

# Stop being a nice guy.

Source : A book " No more Mr nice guy"

UPDATE:
# Nice guys ate not nice to themselves.

# They are a kind of guys who dont take care of their own biological children but play a very nice step daddies.
Wanawake wanahitaji kufukunyuliwa kwa sana, ukiwa nice boy arafu unafukunyua kizembe, huo u nice boy wako ni sawa na uwe na upala arafu hauna pesa wala elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wanahitaji kufukunyuliwa kwa sana, ukiwa nice boy arafu unafukunyua kizembe, huo u nice boy wako ni sawa na uwe na upala arafu hauna pesa wala elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Gbam.
Kwanza ukiwa too much nice they blv kuna nafasi dhaifu unauficha.
Wanakuona kigoli mwenzao and they will use u
 
Kwa kiswahili unaweza kuwa unamaabisha nini?
Right guy anaishi na mwanamke kwa kutumia akili kama ilivyo elekezwa kwenye maandiko matakatifu but Nice guy anaishi na mwanamke kwa kuongozwa na mihemko
 
Right guy anaishi na mwanamke kwa kutumia akili kama ilivyo elekezwa kwenye maandiko matakatifu but Nice guy anaishi na mwanamke kwa kuongozwa na mihemko
Oh...ok.
 
It depends. Nice guy ndio wanakuwa wa mwisho kumaliza. Mean ujana utamuhagaisha mwanamke.. baadae atarudi kutafuta nice guy kwa ajili ya ndoa

Back
Top Bottom