Ukweli mchungu: Women dont like nice guys.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,317
To them a nice guy means a foolish guy.

# Stop being a nice guy cause she think ur a fool.

# The best thing a woman can do to a nice guy is to put him in a friend zone because women think that " The only good thing about a nice guy is that they are ' just nice' and nothing more.

# Stop being a nice guy.

Source : A book " No more Mr nice guy"

UPDATE:
# Nice guys ate not nice to themselves.

# They are a kind of guys who dont take care of their own biological children but play a very nice step daddies.
 
Mi ni nice guy. Na napendwa na wanawake wengi sana. Hapa JF panaweza kuniwekea ushahidi.

Wanawake wa JF mnaonipenda hebu ningongeeni LIKE ili niendelee kuwa nice guy...

Dah sijui kama nitafanikiwa kwenye hii vita. Naiona kama vita vya korosho

Wanaume nawashauri kuweni nice ili mpendwe na wanawale

MORAL: Niko kwenye debate. Napinga hoja. Naamini wanawake wengi wanapenda Nice guys. Be nice meeeeeen!
 
To them a nice guy means a foolish guy.

# Stop being a nice guy cause she think ur a fool.

# The best thing a woman can do to a nice guy is to put him in a friend zone because women think that " The only good thing about a nice guy is that they are ' just nice' and nothing more.

# Stop being a nice guy.

Source : A book " No more Mr nice guy"

Mmmmmn sio kweli jaman we want nice guyz...wanaume wamezidi kuwa pasua vichwa hapana kwa kweli
 
ngoja nikusaidie kuhesabu like ingawa mpaka muda huu bilabila
Mi ni nice guy. Na napendwa na wanawake wengi sana. Hapa JF panaweza kuniwekea ushahidi.

Wanawake wa JF mnaonipenda hebu ningongeeni LIKE ili niendelee kuwa nice guy...

Dah sijui kama nitafanikiwa kwenye hii vita. Naiona kama vita vya korosho

Wanaume nawashauri kuweni nice ili mpendwe na wanawale

MORAL: Niko kwenye debate. Napinga hoja. Naamini wanawake wengi wanapenda Nice guys. Be nice meeeeeen!
 
Mi ni nice guy. Na napendwa na wanawake wengi sana. Hapa JF panaweza kuniwekea ushahidi.

Wanawake wa JF mnaonipenda hebu ningongeeni LIKE ili niendelee kuwa nice guy...

Dah sijui kama nitafanikiwa kwenye hii vita. Naiona kama vita vya korosho

Wanaume nawashauri kuweni nice ili mpendwe na wanawale

MORAL: Niko kwenye debate. Napinga hoja. Naamini wanawake wengi wanapenda Nice guys. Be nice meeeeeen!
You are actually proposing my motion. They like u as a friend
 
Mmmmmn sio kweli jaman we want nice guyz...wanaume wamezidi kuwa pasua vichwa hapana kwa kweli
Tukiwa nice guys mnatuonaga mafala. We just need to be right and not nice
 
Wanawake wanachohitaji ni security.. wakijua kwako kuna security watakupenda tu uwe bad guy au uwe nice guy..

unataka kusema Mzee mengi au Luca wa Nancy sumari ni Bad guy?
 
Kula tano mkuu
Nenda kwenye bar yoyote and tell the waiter to give u one bottle of wine and two females halafu anipe talaka ( bili) nta clear
 
Na hapo ndipo napopataka sasa. Sipendi wanipende kama enemy. Mi sio adui wa wanawake. I like and love them all. Naanzia kwa mama yangu...
Unachanganya mambo mkuu
 
Tukiwa nice guys mnatuonaga mafala. We just need to be right and not nice
Hebu weka tofauti zao hapo tuone.... who is a right man? And who is a nice guy? Na utuambie ni kwanini nice guy hawezi kuwa right guy. Then unishauri niache kuwa nice guy ili niwe right man.
 
Wanawake wanachohitaji ni security.. wakijua kwako kuna security watakupenda tu uwe bad guy au uwe nice guy..

unataka kusema Mzee mengi au Luca wa Nancy sumari ni Bad guy?
Na security haiwezi kutolewa na nice guy??
 
Kula tano mkuu
Nenda kwenye bar yoyote and tell the waiter to give u one bottle of wine and two females halafu anipe talaka ( bili) nta clear

kuna Gentleman wengi sana, sema maisha yanawapiga wanawake hawawataki kabisa.. na kuna wahuni wengi sana ila maisha yamewanyokea wanawake wanawagombania... pia kuna nice guy na maisha yamenyooka.. hao ndio wanawake wako tayari waende kwa mganga wawapate, na kuna bud guys na maisha yao mabovu.. kama mateja au panya road.. hao hata salamu ya wanawake hawaipati..

wanawake ukiwa na source ya income ya uhakika.. kwamba yeye na watoto atakaowazaaa watakula bata.. hapo uwe bad guy au nice guy... watakupenda tu

Sasa ole wako uwe bad guy halafu hela huna.. maisha hayaeleweki,,,, hata salamu zao uzipati..
 
Na security haiwezi kutolewa na nice guy??

wapo nice guys na wana security.. yaani mpunga wanao wa kutosha kumtunza mwanamke na watoto atakaowazaa.. kwa uhakika.. hao wanapendwa sana na sana wanagombaniwa sokoni bila wao kujijua
 
Naunga mkono Hoja kwa asilimia 100%

Nina masela kibao nimewashuhudia wakiteseka sana kwa hawa Wadudu. Ila ukiwa mbuzi ndipo unapowaweza na kuwatafuna unavotaka.
 
Hivi majuzi tu nimetafuna demu ambae msela wangu anamfili sana na amekua akimzungusha sana jamaa huyo demu. Ila mimi ndani ya siku 2 nimebamiza chochoroni nimepiga pipe. Msela namuonea huruma lakini acha nimtilie adabu.
 
kuna Gentleman wengi sana, sema maisha yanawapiga wanawake hawawataki kabisa.. na kuna wahuni wengi sana ila maisha yamewanyokea wanawake wanawagombania... pia kuna nice guy na maisha yamenyooka.. hao ndio wanawake wako tayari waende kwa mganga wawapate, na kuna bud guys na maisha yao mabovu.. kama mateja au panya road.. hao hata salamu ya wanawake hawaipati..

wanawake ukiwa na source ya income ya uhakika.. kwamba yeye na watoto atakaowazaaa watakula bata.. hapo uwe bad guy au nice guy... watakupenda tu

Sasa ole wako uwe bad guy halafu hela huna.. maisha hayaeleweki,,,, hata salamu zao uzipati..
Kwahiyo ushauri wako tuwe bad guys lakini tuwe na hela....
 
Back
Top Bottom