Jana nilimsikia Katibu mkuu wa Ccm redio Clouds, nadhani alikuwa Tanga akisema kigezo cha kwanza kwa mgombea atakayeteuliwa na Ccm itakuwa ni uadilifu. Alisema pia wagombea wa Ccm wanaoutaka urais itabidi wajipime kwa kigezo hicho namba moja. Ni juzi tu Mzee Msuya alisema Lowassa kama anaenda upinzani aende lakini chama hakiwezi kumpitisha fisadi kugombea urais.
Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya iasa za nchi hii utajua kwamba Lowassa alikuwa karibu sana na viongozi wa dini, lakini juzi tu walitoka hadharani na kumnanga kama 'fisadi msaka Ikulu'. Hawa ni watu wanaheshimika sana na mara nyingi wanakuwa taarifa nyeti toka hata Ikulu. Mtu kama Pengo ni figure kubwa nchi hii, anajua yaliyo uvunguni Ikulu.Kama angekuwa amedokezwa kwamba ndiye mgombea wa Ccm ajaye asingethubutu kumchana hadharani au maaskofu wenzake kumnanga!
Wale 'Team Lowassa' mjiandae kisaikolojia kutupwa kwa mgombea wenu maana tangu imeanza 2015, hali inazidi kuwa mbaya. Mashambulizi yanatoka kila pembe tena kwa watu wanaoheshimika. Baba Askofu Mokiwa, Baba Askofu Pengo, Nzigirwa, Mzee Msuya! Mlishajiuliza hivi karibuni Pengo alienda kufanya nini Ikulu?
Tafakari!
Lowasa hawezi kuteuliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM labda huko UKAWA anakopanga kwenda
View attachment 216691Huyu ametumwa si bure... Utake usitake usikojoe uache ule ushibe ufe ufufuke, Lowassa ndo rais wa Tanzania kuanzia 2015..
jiandae kisaikolojia....Yan Lowassa amewafanya watu wengi waugue magonjwa ya akili;hofu na kiwewe kimewajaa...he's a hard nut to crack take that from me;Msuya ana uadilifu gani wa kutusemea juu ya Rais tumtakaye ikiwa yeye anaishi na hatia ya kumwua Sokoine?Pengo ana uadilifu gani wakati benki ya kanisa lake ni taasisi ya utakatishaji fedha haramu?Kinana ana uadilifu gani wakati amemaliza tembo wetu?Kikwete aliye Rais wenu ana uadilifu gani wakati ameiba pesa za uma kupitia Escrow?Muwe mnafikiri kabla hamjaandika,otherwise kama hii inawasaidia kuondoa msongo wa mawazo kutokanana ugumu wa maisha basi go ahead and spread more lies
View attachment 2166942015 ni Lowassa na Slaa tu!
mano a mano!
My friend; tafadhali sana tofautisha "The real from the Ideal!!"; if wishes were horses; each and everyone of us would ride ONE!!
Wataongea mpaka mpaka mapovu yawatoke; watajipandisha mori na kujitia ukakasi; lakini katika uteuzi wa mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Majambazi (CCM); read my lips; Edward Ngoyai Lowasa is the man to beat !!!
Vinginevyo; tuanze sasa kuandika "Tanzia" ya CCM; na maandalizi ya kuikaribisha jamhuri ya pili ya Tanzania
Freedom is comming tommorow; Let freedom reign; Aluta continua.
Kweli hata mungu hatoi uongozi kwa wala rushwa wasiokuwa na uadilifu.Uongozi hutoka kwa mungu
Katika watu wenye uwezo mdogo kabisa mmojawapo ni Membe! CCM wakitaka ianguke wamuweke MEMBE!Mbona mgombea wa CCM 2015 Yupo wazi tu,,, Mgombe ni BENARD MEMBE,,, Lowassa kiukweli kikwete kesha msaliti siku nyingi,,
Mbona mgombea wa CCM 2015 Yupo wazi tu,,, Mgombe ni BENARD MEMBE,,, Lowassa kiukweli kikwete kesha msaliti siku nyingi,,
Somebody doesn't like your attachment, but message sent!
Katika watu wenye uwezo mdogo kabisa mmojawapo ni Membe! CCM wakitaka ianguke wamuweke MEMBE!
Lowasa atakapo gombea urais ameua chama hata kama ni upinzani.