JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,782
- 2,836
- Thread starter
- #21
-Sensa ni tarehe 23 August.Sensa ni kizungumkuti alafu hakuna tetesi za ukweli
-Zoezi zima la semina elekezi itachukua kama siku 21.
-Kusambaza vishkwambi kama siku 5
-Ukaguzi siku 3
- Vikao vya ndani siku 5
-Kupangwa/kuoneshwa maeneo/kusaini form za mkataba kama siku 3 hadi 5.
-Majibu baada ya usahili siku 3 mpaka 5.
-Siku 7 hadi 10 za kujiandaa kabla ya usahili.
-Usahili siku 1
Piga hesabu hapo ujue tarehe za matarajio ya mkeka
NB: Ni makadirio kwa uzoefu na siyo kwamba ndo ratiba
Ambayo ni tarehe 29±3. Yaani kuanzia 26June hadi 02July