Ukweli mchungu kazi za sensa

Ukweli mchungu kazi za sensa

JMF

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
1,782
Reaction score
2,836
Waombaji ni ~700k
Wanaohitajika ni ~ 205k
Idadi ya halmashauri ~185
Ukigawa hapo ni kama 1k kwa kila halmashauri

Watu hao wataweza kufanya hiyo kazi kwa takribani kata 4000 nchini kwa ufanisi? Ninachoona kuna possibility ya kuchukua nusu ya watu na tena wasitosheleze.

NB: Prediction ya sensa hii ni kuhesabu watu milioni 100 bado mifugo.
Katika hiyo 205k kuna wasimamizi humo humo, VEO (~65k) na WEO(185) plus wajumbe

average counting per head 100,000,000÷205,000= ~ 500
Mifugo bado
 
Bongo tufike millioni 100 na CCM bado ipo madarakani?? Umelewa mbege wewe
 
Piga hesabu zako vzr😂😂😂 naona umejichanganya sehemu😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: JMF
205 umeitoa wapi?
Vitu vingine msiwe mnakurupuka tu kuanzishia nyuzi.
 
Waombaji ni ~700,000
Wanaohitajika ni ~ 205
Idadi ya halmashauri ~185
Ukigawa hapo ni maximum watu wawili kwa kila halmashauri? (205÷185)

Watu wawili wataweza kufanya hiyo kazi? Ninachoona kuna possibility ya kuchukua nusu ya watu na tena wasitosheleze.

NB: Prediction ya sensa hii ni kuhesabu watu milioni 100 bado mifugo.

average counting per head 100,000,000÷205= ~ 500,000
Wewe ni ngwini
 
Unaanza kujipa matumaini feki..tambua bajeti tayari imeshatengwa..na pia sio wajinga kuhitaji hiyo idadi ya watu 205.

Nakushauri jiaandae kisaikolojia..ili ukikosa usije anza kutukana serikali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hizo kazi tayari washaweka mahawara na mashemeji zao hii kutangazwa ni zugazuga na janjajanja tu ili tuone mchakato ukofea na unazingatia ushindani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom