DR MWASIMBAA
Member
- Aug 6, 2018
- 43
- 29
Tumia Rough rider .Aliyekwambia condom hazipasuki ni nani?hahaa
Hata izo cku iz ni majangaTumia Rough rider .
Sasa ndg mpaka CONDOM inapasuka kwani unafanya mapenzi kama vita ndgAliyekwambia condom hazipasuki ni nani?hahaa
Kwahiyo nyie mnaofanya mapenzi kavu kavu ndo mnajitambua kisa ni wanaume au?? Sema wote hatujitambui sio usukumize mzigo kwa wanawake peke etu.
Hivi bado unapasua condom hadi Leo hukupata solution!!Aliyekwambia condom hazipasuki ni nani?hahaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuwa mdukuzi bila shaka!Hivi bado unapasua condom hadi Leo hukupata solution!!