Mkuu kutokuwa kwangu na akili kuko wapi?utakuwa huna akili sio bure hebu kalale
Swadakta ya Nature, karibu sikukuu tusherehekee Eid El_fitrMimi cyo shabiki wa simba ila ni vizuri ukakaa kimya kwanza maanake lisemwalo lipo kama halipo laja....
Naweza kubwabwaja Utumbo hapa mwisho wa siku unasikia Niyonzima , msuva haooooo wamesaini matopeni....
Nianze kuja kukazana kufuta au kuedit thread humu....
Siamini kama Hawa viumbe wataenda kwa Wamatopeni ila ni muhimu kukaa kimya mpaka dirisha lifungwe...
Habari za weekend wandugu!
Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga.
Viongozi wa simba wamewaaminisha washabiki na wapenzi wao kuwa wamesha msainisha Haruna Niyonzima, pia wamejinasibu kukubaliana na Ngoma, pia wakijinadi kuendelea namazungumzo na Msuva.
Ktk matamko yote hapo juu hakuna ukweli wowote ndiyo maana hakuna picha yoyote inayoambanishwa na uzushi ule.
Viongozi hawa wanachofanya ni kuwapumbaza wapenzi na mashabiki wa mnyama asiye na meno ili wasihoji juu ya rufaa yao FIFA na wasihoji kuondoka kwa Ajibu.
Wanachofanya ni kununua magazeti ili kuwapumbaza tu .
Kwakuwa wapenzi na mashabiki wengi wa matopeni ni MAMBUMBUMBU huamini kila uzushi lkn mwisho wa siku kila kitu kitabaki wazi na tayari wameshaandao uongo mwingine wakuwalaghai stay tuned muda utasema.
Uzushi haunyamaziwi mkuu! Mleta mada hajakosea, hata kama unajinasibu wewe si mpnzi wa mnyama lkn uoneoneka ni mbumbumbu mwenzao kama sivyo mbona wewe hukukaa kimya kama unavyoshauri?Mimi cyo shabiki wa simba ila ni vizuri ukakaa kimya kwanza maanake lisemwalo lipo kama halipo laja....
Naweza kubwabwaja Utumbo hapa mwisho wa siku unasikia Niyonzima , msuva haooooo wamesaini matopeni....
Nianze kuja kukazana kufuta au kuedit thread humu....
Siamini kama Hawa viumbe wataenda kwa Wamatopeni ila ni muhimu kukaa kimya mpaka dirisha lifungwe...
Mkwasa aliongea wazi hata clips zipo mtandaoni , leteni picha za Niyonzima akisaini simbaWw umesha hoji kuondoka kwa niyonzima yanga? Je ulipewa majibu gani na viongozi wa yanga tuwekee hapa ndio update uhalali wa kuhoji majibu ya kuondoka kwa ajibu, vinginevyo ww ni mmbea tu.
wanataka picha wakati wanajua bado wana mikataba mpaka Julynyozima ndani ya nyumba wewe, yanga mlie tu machozi ya ndoo nzima
Hata kapombe hajamaliza mkataba na Azam .lakini Picha zipo akisain simbaNiyonzima ana mkataba na yanga atapigwaje picha akiwa na simba ? Wewe kweli ni wa nchi hii ! Jitathimini na uombe uraia haraka ili uwe update
Nyiyi makinikia fc so mnajisibu kumsainisha Ajib? vipi mbona hamrushi pics zake akisaini??Mkwasa aliongea wazi hata clips zipo mtandaoni , leteni picha za Niyonzima akisaini simba
Sasa wewe POVU la nini?, Jiulize mwenyewe ukipata jibu JITAFAKARI.Habari za weekend wandugu!
Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga.
Viongozi wa simba wamewaaminisha washabiki na wapenzi wao kuwa wamesha msainisha Haruna Niyonzima, pia wamejinasibu kukubaliana na Ngoma, pia wakijinadi kuendelea namazungumzo na Msuva.
Ktk matamko yote hapo juu hakuna ukweli wowote ndiyo maana hakuna picha yoyote inayoambanishwa na uzushi ule.
Viongozi hawa wanachofanya ni kuwapumbaza wapenzi na mashabiki wa mnyama asiye na meno ili wasihoji juu ya rufaa yao FIFA na wasihoji kuondoka kwa Ajibu.
Wanachofanya ni kununua magazeti ili kuwapumbaza tu .
Kwakuwa wapenzi na mashabiki wengi wa matopeni ni MAMBUMBUMBU huamini kila uzushi lkn mwisho wa siku kila kitu kitabaki wazi na tayari wameshaandao uongo mwingine wakuwalaghai stay tuned muda utasema.
Kwa hiyo kapombe na manula na mwambeleko na jana okwi pia ni feki? Huna akili timamuHabari za weekend wandugu!
Kumekuwa na maneno mengi kuhusu simba kusajili baadhi ya wachezaji na wengi wao wakidaiwa ni wale mastar kutoka timu pinzani ya yanga.
Viongozi wa simba wamewaaminisha washabiki na wapenzi wao kuwa wamesha msainisha Haruna Niyonzima, pia wamejinasibu kukubaliana na Ngoma, pia wakijinadi kuendelea namazungumzo na Msuva.
Ktk matamko yote hapo juu hakuna ukweli wowote ndiyo maana hakuna picha yoyote inayoambanishwa na uzushi ule.
Viongozi hawa wanachofanya ni kuwapumbaza wapenzi na mashabiki wa mnyama asiye na meno ili wasihoji juu ya rufaa yao FIFA na wasihoji kuondoka kwa Ajibu.
Wanachofanya ni kununua magazeti ili kuwapumbaza tu .
Kwakuwa wapenzi na mashabiki wengi wa matopeni ni MAMBUMBUMBU huamini kila uzushi lkn mwisho wa siku kila kitu kitabaki wazi na tayari wameshaandao uongo mwingine wakuwalaghai stay tuned muda utasema.
Hajasaini. Nyamaza.Mkwasa aliongea wazi hata clips zipo mtandaoni , leteni picha za Niyonzima akisaini simba