Hapo kwenye dini ukweli inabidi usemwe tu bila kujali kuitwa gaidi, kwa wakristo, Kati ya vitu vilivyomfanya Yesu asulubiwe ni ukweli ambao wayahudi wengi walikuwa hawataki kuusikia,
Huko serikalini inabidi utafute hela jiimarishie ulinzi, anza kukosoa ili kuepuka kufa kizembe