jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,482
- 11,501
Vipi kukaa chaji? Na hizi used huwa hazisumbui?Tegemea camera kali nawakubali sana kwenye camera, uta zoom ila picha bado ipo gado!
Heee... Display je?Tegemea very good sound singanture from earphone port,, very good camera na very bad battery life
Hapo kwenye battery life hujakosea, zile simu ni majangaTegemea very good sound singanture from earphone port,, very good camera na very bad battery life
Ni kama kuuliza bikra kwenye wodi ya wazazi.,Vipi kukaa chaji? Na hizi used huwa hazisumbui?
Ulikutwa na nini kiongozi?Ogopa sana hizo simu zinazokuja kwa jina la sijui used mara refurbished iyo ni kamali unacheza hapo, ukiweka hilo kichwani hutapata tabu, simu unakuta ilitoka 2016 mpaka leo, almost 6 yrs, kua makini mkuu, yalisha nikuta na sony xperia z5 sina hamu.
Ni used za Japan,Wakuu naomba mawazo yenu kuhusu used flagship za sony kama xz1, xz3 nk. Nyingi wanasema ni used from dubai na bei ni chee mno mfano xz1 ni 140,000/= sasa kwenye matumizi nitegemee nini? Ubora wake nini na udhaifu wake nini? Karibu tujuzane wakuu
Si kweli mkuu Hakuna Brand kama Sony Linapokuja suala la Battery life, sema si Sony zote zinakaa na Charge.Ni kama kuuliza bikra kwenye wodi ya wazazi.,
Sony hazijawahi kumiliki simu zenye battery life nzuri
Xz1 compact, Xz3, Xperia 10 III, IV, Xperia 5 yoyote zinakaa na Chaji.Vipi kukaa chaji? Na hizi used huwa hazisumbui?
Angalau kwa siku mtu anaichaji mara mbili au moja?Xz1 compact, Xz3, Xperia 10 III, IV, Xperia 5 yoyote zinakaa na Chaji.
Xperia 10 iV ni mpya imetoka ngumu kupata refurb ila hii unaweza tumia siku 2 mpaka 3 matumizi ya kawaida. Inaweza play video masaa 32 mfululizo kabla ya kuzima, ama kuperuzi masaa 21.Angalau kwa siku mtu anaichaji mara mbili au moja?
Wakali wa kamera ni Huawei mkuu hizo p40, p50 ni hatari sana...Tegemea camera kali nawakubali sana kwenye camera, uta zoom ila picha bado ipo gado!
Hata mm natumia iko poa sana Sony xz1 dosari ndogo ni upande wa betri inabidi kuwa na power bankTegemea very good sound singanture from earphone port,, very good camera na very bad battery life
Hizo used bongo sijaona na mpya pia sijaona, niliwahi tumia Huawei mate 7 na sijawahi tumia simu bora ya level hio tena hawa xiomi na samsung naona hawako serious na biashara kama huaweiWakali wa kamera ni Huawei mkuu hizo p40, p50 ni hatari sana...
Bei ya hizo simu ni ndogo karibu robo ya bei yake ikiwa mpya mfano iphone se ni 140k so nashawishika kuzijaribuKwa nini ununue simu ya zamani wakati kwa bei hiyo unapata mpya?