Ukweli kuhusu shape ya Dunia

Kama dunia ingekua flat nadhan tungekua na edges yan mwishon mwa hiyo flat surface lakin pia kuhusu maji kupanda mlima ni simple mlima always ni elavation from the earth's surface that means away from the earth therefore gravitation force g inaforce kila kitu kuvutwa kwenye dunia hata ukianguka,umwaga maji,mito kutokupanda mlima na kwasababu force hii inayaforce maj towards the centre of the earth
 
Ukimwaga maji juu yatarud tu chin hii n kwasababu ya nguvu ya dunia kuvuta vitu towards itself,can u tell us what exactly happens to create horizon?.Mwisho ningeomba tuheshimu imani za mwezetu hata kama kwako si kitu maana lugha ilotumiwa na mwanzisha mada sio nzuri kwa kwel kama yeye ni mtanzania.
 
Nadhani umbile sahihi ni kama ramani ya UN
 

Attachments

  • 1475832485042.png
    104.3 KB · Views: 84
Sijasikia taarifa zao, taarifa za namna anga lilivyo zote nazisikia NASA tu
Ni kwasababu hujajishughulisha kuzisikia na pia ingekuwa wanapingana na NASA wangepinga hadharani hivyo basi wanaungana na NASA kukueleza ukweli huo kuwa dunia ni tufe
 
Kwa hiyo itabidi dunia tuweke fence maana watoto wanaokaa karibu na mwisho wanaweza kutumbukia na magari yawe yanaenda kwa tahadhari maana yanaweza kutumbukia chini.
 
We ndo huelewi, wapi biblia inasema nyoka aliongea? Biblia kitabu ambacho kina ujumbe wa kuaminiwa kuliko kitabu kingine vya aina hiyo.. Kuna nyoka wa aina nyingi...nikikuita wewe nyoka unaelewa hivyo hivyo na akili yako ndogo.
Bibilia ina ujumbe kwako wewe ambae unasoma bila critical thinking ila kwa mtu mwengine bibilia ni kitabu tu cha kawaida hakuna cha ajabu kwenye ujumbe wake. Na theory yako flat earth hata kwenye karne za zamani watu walikua hawaamini hivo. Hata watu wa zamani walifanya majaribio na kujua dunia haiwezi kua flat kabla hata ya nasa kuwepo. wewe leo hii upo kwenye karne ya 21 bado unaamini dunia ni flat
 
Magonjwa ya akili yapo mengi. Mleta uzi, tafadhari sana onana na daktari bingwa upesi.
Ushauri wa bure.


mleta mada yuko sahihi sana kwa kimtizamo wake ni jukumu letu kumchalange na sio kumtukana
 
Magonjwa ya akili yapo mengi. Mleta uzi, tafadhari sana onana na daktari bingwa upesi.
Ushauri wa bure.


mleta mada yuko sahihi sana kwa kimtizamo wake ni jukumu letu kumchalange na sio kumtukana
 
Tatizo la mleta uzi ni shule na kama sio shule ni mlemavu kwenye ubongo, kumfanya aelewe ni sawa na kumwambia kiwete kusimama na kuanza kutembea!
 
Yani shirika la anga aa Urusi, la china japan, ulaya wote wakudanganye wewe tu.
Hata North Korea, India wote hawa wana satelites zinaelea kwenye space
Halafu hao wameenda huko space na wameona dunia ikizungua labda atuambie na yeye alifanya utafiti gani maana tafiti inapingwa kwa tafiti
 
Mimi ugomvi wangu mkubwa ni hawa NASA..Eti kwamba Mwaka 1969 walipeleka mwanadamu mwezini?????
Huu ni uwongo uliotukuka na kufanya binadamu wengine ni majuha.Iweje kwa Teknolojia ya sasa nzuri zaidi hawapeleki tena binadamu huko??? au kisingizio ni gharama? Hawa majambazi USA wanatuonyesha picha chombo kilipoondoka mwezini na kuanza safari ya kurudi duniani,wameonyesha aibu kubwa yaani kile chombo kinanyanyuka kama mdudu/cartoon za kina totoo.
Space shuttle linaponyanyuka hapa duniani tunaona ni nguvu ya hali ya juu mno hutumika, sasa iweje kule mwezini chombo kama bajaji ndio kinyanyuke kama mdudu kwa safari ya kuanza kurudi kuungana na chombo kingine katika space ili kurudi hapa duniani???
Shame USA!!!shame NASA!!! na ngedere wengine na wapambe wao hamna adabu.
 
Usije kuwa umesoma HGL halafu unatupotezea muda.Tupe theory yako,tuifanyie proof.Maarifa yaliyopo leo hayakupatikana kirahisi.Watu walisota na mpaka wengine walipoteza maisha.Wewe tusaidie tu kuwa kwa nini Tanzania tuko nyuma kimaendeleo?Hilo la jua na dunia siyo saiz yako.Kwa arguments zako.
 
Yani shirika la anga aa Urusi, la china japan, ulaya wote wakudanganye wewe tu.
Hata North Korea, India wote hawa wana satelites zinaelea kwenye space
Sawa kabisa..Kwa upande wangu napinga HAKUNA BINADAMU ALIYEWAHI KANYAGA MWEZI. USA walidanganya ilikuwa ni project ya kutishana enzi ya vita Baridi,mbona leo Teknolojia nzuri hawaendemo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…