Ukweli kuhusu kuvuta sigara

Ukweli kuhusu kuvuta sigara

odbg

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
318
Reaction score
154
Nina babu yangu, ndugu zangu huwa wananipa story na hata yeye mwenyewe ameniambia kwamba ameanza kuvuta sigara akiwa na miaka 17 na sasa ana miaka 82 ila hajawah kuumwa kifua wala mapafu na anavuta sigara kweli kweli.

Juzi nilikua nipo nae tunaangalia mechi ya Real Madrid, toka mechi inaanza hadi inaisha alimaliza paketi moja ya embassy nikimshuhudia kwa macho yangu na huyu babu yangu kwake kuvuta pakiti moja ya sigara kila siku ni kitu cha kawaida mnooo!!!!!

Hapa nathibitisha uvutaji wa sigara si hatari kwa afya yako.
 
Anza na wewe... 'keep the date ukifika 82 Naomba ulike comment yangu..
 
embassy kwani sigara ile??, nenda kajaribu kumpelekea sigara Kali, sport au pakti moja hamalizii kabisaa..!
Sport mbona anavuta pakiti tena simple tu kawaida,yaani kila sigara anavuta,labda bangi na pombe ndo aliacha
 
Madhara ya kuvuta sigara au kunywa vinywaji vyny kemika yanategemea na kinga ya mwili wako si lazima madhara yafanane au mpate kw wakati mmoja. Ndo maana wengine wanasema soda si nzuri lakini wengine mpk wanafariki hazijawah waathiri. Ndo nnavyojua hivyo.
 
Dah...fegi zinapunguza pia kasi ya kupiga game..Pumzi unaishiwa mapema sana hata kwa kazi nyingine zinanazohusu misuli ya mwili😎😎😎
 
Mi babayangu ameanza kuvuta sigara mwaka 1965 akiwa na miaka 18 na bangi ameanza kuvuta mwaka 1970 amekuwa addicted na vitu hivyo, anamaliza pesa vibaya, pia sasa hivi ana kikohozi sugu, anakohoa sana. Madhara yapo maana hata ngozi yake ya kizungu, ina black spots kutokana na lack of oxygen kwenye mapafu..
 
bado anavuta?
 
Back
Top Bottom