Ukweli kuhusu kujichua huu hapa

Kigger

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
884
Reaction score
836
Inasemekana idadi ya vijana wanao jichua (punyeto) inaongezeka kasi sana hasa ikijikita kwa vijana wasio kunywa pombe wa kilevi cha aina yoyote.

Kulingana na udadisi mkubwa tulio fanya idadi kubwa ya vijana wanao jichua ni wasio tumia vilevi.
 
Kwa hiyo mmegundua sababu yake nini??,kutokunywa pombe ndo sababu au?.
 
Team puchu mnaalikwa muje hapa
kuna mdau kawachokoa.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: G3T
Kwamba mkono usioshika kilevi ni mwepesi sio .. hahahahhaaaaa

Uchunguzi unasemaje kuhusu uhusiano uliopo kati ya kutokunywa na ''goli la mkono'' ?

Inasemekana idadi ya vijana wanao jichua (punyeto) inaongezeka kasi sana hasa ikijikita kwa vijana wasio kunywa pombe wa kilevi cha aina yoyote.

Kulingana na udadisi mkubwa tulio fanya idadi kubwa ya vijana wanao jichua ni wasio tumia vilevi.
 
hata hueleweki.....mpaka nyani wanapiga punyeto,,, sasa sijui ni ukweli gani umeleta hapa....
 
Huo uchunguzi itakuwa umeufanyia baa
 
Subir nende bafuni kwanza na sabuni yangu...nitarud
 
Inasemekana idadi ya vijana wanao jichua (punyeto) inaongezeka kasi sana hasa ikijikita kwa vijana wasio kunywa pombe wa kilevi cha aina yoyote.

Kulingana na udadisi mkubwa tulio fanya idadi kubwa ya vijana wanao jichua ni wasio tumia vilevi.

mbona unaji-contradict mara ''inasemekana'' hapa inamaana ww hauusiki kwenye iyo tafiti , then unakuja kusema ''udadisi tulio fanya'' vp mkuu ebu weka sawa hii tafiti ya wapi na kafanya nani?
 
mkuu we wa wapi? any way umenikumbusha ngoja nkapge moja kavu make asubuh nmepga mbili kavu ntamalizia na moja wakati wa kulala uck.
 
mpenzi upo?
Haipiti siku bila ya kujichua na mie situmii pombe.

Nipo tele kama pishi la mchele my queen G3T
Habari za kauadimika au na wewe umeenda "KUMPOKEA" mh?
 
Last edited by a moderator:
Ila kujichua raha sana full kusquit yani
 
wadau wa CHAPUTA mko wapi kuna jamaa anazingua huku!!!!
 
Hahahahaha dah kwa kweli umu jf ni pa kupunguza stress tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…