ukweli kuhusu KLOROKWIN

hahahahah ndo wale wale wanaokimbiza mwizi wakisema kimbiza mwizi men...........na mkono mmoja umeshikilia trouser... teh teh
Tena huyu ni zaidi anakimbia kwa kunyata ngoja aamke leo aione hii thread hapa kutakuwa na comedy za kufa mtu
 
Aisee hili li tablet lenzangu leo naona zali limemwangukia.

Mai Dia Felo tablet popote ulipo, haya maujiko naomba tuyafanyie sharing....Ukitibia malaria ya AD hakikisha unakibwatua kichwa chake kwa maumivu ili aje kwangu nimpe Asprin za kutosha.

Aisee nasikia wivu sana kwanini kidonge mwenzangu apewe ujiko peke yake? AD ukipata maumivu ya kichwa usinitafute kudadadadadadadeki!

Kila aombaye hupokea
naye abishae atafunguliwa
na atafutaye huona

Nilifanya vyote hivyo na hukunipokea
hahahahahahahah lol
 
Leo ni siku ya SHAROBARO Klorokwin duniani, AD hivi klorokwin expire date yake ni lini? Hapa naongeza wawili (Uporoto na Hashycool) kumaliza siblings wa SHAROBARO Klorokwin.

Aisee huyu Hashycool yuko wapi, dah wawage wanatoa taarifa bwana, kuna viongo vingine huku visipoonekana hata kurasa za page hazifunguki vizuri ujue.Tukio la Japan halihusu hapa labda?

Klorokwini mwenyewe huyu mbona bado amelala hajui kama leo ni siku yake!!!!
 
Aisee kumbe kidonge cha klorokwini kina jinsia ya kike? Sikujua swahiba kaenda kwenye unajimu.

Asprin ina jinsia ya kiume....haina siku zake!!!!!!!!!!:juggle::juggle:

Eti babu,
ukichanganya Asprin na Klorokwin
Pamoja inafaa kweli..?
 
Kila aombaye hupokea
naye abishae atafunguliwa
na atafutaye huona

Nilifanya vyote hivyo na hukunipokea
hahahahahahahah lol

Lokesheni yangu ni Matenite Wadi...Siku TF akikumimbisha afu ukajifungua kupitia kikojoleoni ukaletwa wodini nilipo, haki ya walahi sitakupunguzia maumivu, ndio ukome kutonipa maujiko.
 
Aisee huyu Hashycool yuko wapi, dah wawage wanatoa taarifa bwana, kuna viongo vingine huku visipoonekana hata kurasa za page hazifunguki vizuri ujue.Tukio la Japan halihusu hapa labda?

Klorokwini mwenyewe huyu mbona bado amelala hajui kama leo ni siku yake!!!!

Hakyanani leo mnanifungua macho sana. Yani Klorokwini iko mwezini leo?
 
Lokesheni yangu ni Matenite Wadi...Siku TF akikumimbisha afu ukajifungua kupitia kikojoleoni ukaletwa wodini nilipo, haki ya walahi sitakupunguzia maumivu, ndio ukome kutonipa maujiko.

Babuuuuuuuuuuuu:lol::lol:
 
Aisee huyu Hashycool yuko wapi, dah wawage wanatoa taarifa bwana, kuna viongo vingine huku visipoonekana hata kurasa za page hazifunguki vizuri ujue.Tukio la Japan halihusu hapa labda?

Klorokwini mwenyewe huyu mbona bado amelala hajui kama leo ni siku yake!!!!
Hashycool nimemtafuta manzese, tandale kwa tumbo nikajaribu kwenda hadi tandale popobawa sikumuona nikajaribu kusogea hadi manzese midizini labda atakuwa kule anakunywa banana lakini na kwenye sikumuona nimejaribu kusikiliza matangazo ya vifo na yenyewe sijasikia jina lake likitajwa nimezunguka vituo vya polisi sijamuona kati ya mahabusu wa kule, pia nimechunguza kwenye log book za guest zote kule temeke mikoroshini na yombo dovya na yombo vituka na kwingineko sijaona jina lake.
 
babu usikasirike mie ntakupa ujiko,,,,usije ukasababisha topic ya watu ikafungwa,,,kwani ulisahau kama una nilham wewe??
lokesheni yangu ni matenite wadi...siku tf akikumimbisha afu ukajifungua kupitia kikojoleoni ukaletwa wodini nilipo, haki ya walahi sitakupunguzia maumivu, ndio ukome kutonipa maujiko.
 
Mabibi na ma bwana
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwaeleza
Ukweli kuhusu huyu mtu..

Huyu mtu maneno yake na jina lake
Yanaendana kama

Samaki na maji
mizizi na ardhi
Wanyama na oxygen

Huyu mtu kweli ni tiba kama jina lake
kila atakacho andika kina ucheshi ndani yake..
Klorokwin please keep doing what your doing
Coz we need people like you here ...

asante sana kwa kutufanya tuwe tuna tabasamu kwenye
Screen ya computer....

KLOROKWIN yupo hapa namfunga kamba za viatu.si wajua sharobalo na jinz kubwa kubwa na raba za kupanda ameshindwa kuinama so kanambia nifunge viatu baby....hahaha anakuja mda si mrefu. msubiri men !!!!
 
Aisee huyu Hashycool yuko wapi, dah wawage wanatoa taarifa bwana, kuna viongo vingine huku visipoonekana hata kurasa za page hazifunguki vizuri ujue.Tukio la Japan halihusu hapa labda?

Klorokwini mwenyewe huyu mbona bado amelala hajui kama leo ni siku yake!!!!
Atakuwa anajipiga mapouda kwanza kabla ya kuja hapa:lol:
 
na wewe na huyo hashcool humsahau tuu,,,, hujui kama yale alionitendea hayakustahili,,,, nilimsomea kisomo ndio maana kapotea,,hehehhehelloooooll...
hashycool nimemtafuta manzese, tandale kwa tumbo nikajaribu kwenda hadi tandale popobawa sikumuona nikajaribu kusogea hadi manzese midizini labda atakuwa kule anakunywa banana lakini na kwenye sikumuona nimejaribu kusikiliza matangazo ya vifo na yenyewe sijasikia jina lake likitajwa nimezunguka vituo vya polisi sijamuona kati ya mahabusu wa kule, pia nimechunguza kwenye log book za guest zote kule temeke mikoroshini na yombo dovya na yombo vituka na kwingineko sijaona jina lake.
 
Lokesheni yangu ni Matenite Wadi...Siku TF akikumimbisha afu ukajifungua kupitia kikojoleoni ukaletwa wodini nilipo, haki ya walahi sitakupunguzia maumivu, ndio ukome kutonipa maujiko.
:lol::lol::lol: Sijui niendelee kukuita BABU maana yule babu wa Loliondo ameharibu image ya watu wanaoitwa BABU:lol:
 
na wewe na huyo hashcool humsahau tuu,,,, hujui kama yale alionitendea hayakustahili,,,, nilimsomea kisomo ndio maana kapotea,,hehehhehelloooooll...
Dah!!! Hicho kisomo kitakuwa ni balaa maana hata alama za hashycool hazionekani fanya fanya umsomee kisomo cha msamaha arudi:lol:
 
Lokesheni yangu ni Matenite Wadi...Siku TF akikumimbisha afu ukajifungua kupitia kikojoleoni ukaletwa wodini nilipo, haki ya walahi sitakupunguzia maumivu, ndio ukome kutonipa maujiko.

Hivi kweli babu utamwacha kituu chako
Kiteseke hivyo?

Ikija kwenye dawa ya kutuliza maumivu
mie ntachuku klorokwin.
ikija kwenye dawa ya kutoa ugonjwa Asprin..
hahaha lol
Usikasirike babu mzuri ae
 
Hivi kweli babu utamwacha kituu chako
Kiteseke hivyo?

Ikija kwenye dawa ya kutuliza maumivu
mie ntachuku klorokwin.
ikija kwenye dawa ya kutoa ugonjwa Asprin..
hahaha lol
Usikasirike babu mzuri ae
BABU ASPRIN BABU LOLIONDO:lol:
 
Back
Top Bottom