junior mzolo Senior Member Jan 26, 2014 140 7 May 28, 2014 #1 Siku hizi hapa mjini kila sehemu nikipita nakuta matangazo, ,,,,,,ohhhh piga hizi namba ili ujiunge na Freemason, ,,,,duhh sasa nashangaa nasema je, ,,hawa Freemason wanatafuta wateja au ni utapeli tu unaofanywa na watu hapa mjini, ,,,,,,?????????
Siku hizi hapa mjini kila sehemu nikipita nakuta matangazo, ,,,,,,ohhhh piga hizi namba ili ujiunge na Freemason, ,,,,duhh sasa nashangaa nasema je, ,,hawa Freemason wanatafuta wateja au ni utapeli tu unaofanywa na watu hapa mjini, ,,,,,,?????????