Ukweli kuhusu fermists(virusi)

Kila siku munapiga kelele wanaume ndiyo vichwa vya familia, leo wewe unasema wanawake ndiyo wanabeba asilimia 80 ya utimilivu wa familia.

Mbona munababaika sana? Munataka u head wa familia lakini majukumu hamuyataki, sasa wacha wanawake wajifanyie maamuzi
 
Nimesoma Sana kuhusu Feminism na gender Kama coz ya msimu mzima but bado haijawahi kunishawishi Kwamba mapigano ya usawa , uhuru wa mwanamke, ndoa na maamuzi Ni Jambo sahihi coz kikubwa feminism inajaribu kutufundisha kila Jambo kwa namna ya ukinzani dhidi ya waume.
 
Sijasoma yote ila kupitia ndoa ya zuhra yunusi nimeamini wanawake wengi wanatamani ndoa sema ndio hivyo wanajifanya sitaki nataka nasikia bibie yule enzi zake alikuwa anaringa sana leo jioni ameamua kuoa yeye maana pale huwezi kusema ameolewa
Kiburi tu tena cha kijinga..Wengi wametulia sasa kimya baada ya kuolewa .
 
Kuna haja ya serikali kuangalia namna ya kuwasajili hawa Virus! Ulimi nikiungo hatari kinachoweza kutoa laana, mauti , baraka na uzima! Sioni busara kuwa na vikundi au watu mmoja mmoja wanaotumia fursa ya ulimi kuharibu ndoa za watu ( alichokiunganisha MUNGU mwanadamu asikitenganishe )
TV shows mruhusu watu wanaotoa nasaha njema kwa jamii, wapatanishi na sio wachonganishi au waharabifu wa familia za watu! Suluhu ni jambo jema kuliko kuhimiza neno USIKUBALI! Watoto wengi wanateseka mno huko mitaani, ukahaba unakuwa kwa kasi kisa ndoa kuvunjika, Ukimwi umepata nafasi maana hakuna tena hofu na watu wamejaa visasi, chumi nyingi zinaporomoka maana kidole kimoja hakivunji chawa!
Nashauri kuanzishwe kampaini ya PATANISHA JAMII
 
Ujaelewa alichomaanisha yaani ni kama mfano wa mwenyekiti(mume) na katibu mkuu(mke).. katibu mkuu ndo mratibu wa shughuli zote za chama mwenyekiti anapewa feedback na kutoa maagizo tu pale linapotokea jambo ambalo katibu. mkuu kashindwa kulimudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…