Huyu jamaa kudanganya alimsema hapa sio mtu Mwingine ni yeye mwenyewe anazuga tu ili asionekane ana vichenchede vingi na mtu wake humu.Huelewi nini sasa mkuu, yaana tabasamu linaenda kwa mtu mwingine kutoka kwa mtu mwingine halafu asiyeelewa ni mtu mwingine, watu wengine bana wana mambo mengine ya kivingine vingine tu.
Umekoment vizur saan mkuu yaan ungekuwa unakula rushw ningekwmbia agiza rushwa apo ulipo alaf bili iandikwe syllaeHuelewi nini sasa mkuu, yaana tabasamu linaenda kwa mtu mwingine kutoka kwa mtu mwingine halafu asiyeelewa ni mtu mwingine, watu wengine bana wana mambo mengine ya kivingine vingine tu.
Kwanini usiseme tu kuwa wewe na Ex wako ndiyo mliopigana vijembe na maneno ya shombo sasa ndiyo huyo Ex akikuona anatabasamuJamni kuna rafiki yangu alikuwa ana mpenzi wake wote walipendana sana lakini kadr mdaulivyoenda mapenzi ya kapungua hadi mwsho wakaachana kwa maneno na vijembe zaidi ni mwanamke ndo aliye kuwa anatoa vijembe. Cha ajabu mda umepita yule msichana kila akikutana na Ex wake anatabasam ,
Sasa hapa sielewi jaman wana JF
Umekoment vizur saan mkuu yaan ungekuwa unakula rushw ningekwmbia agiza rushwa apo ulipo alaf bili iandikwe syllae
Saiz kuna chupa kubwa kam zile anazoshika dimond we agiz tu ucogopRushwa chupa zake ndogo mno sitalewa
Haaa kumbe umeow mkuu??Mimi wanawake wengi nlioachana nao ni sababu yangu...mwanamke tukikaa mwaka basi huyo alikuwa mvumilivu sn sijui mke wangu aliniwezaje tu miaka 7 mpk akili yangu ikakaa sawa
Huwezi kulielewa hilo tabasamu sababu halikuhusu, otherwise uwe straight kuwa ni wewe una wasi gani mkuu?Jamni kuna rafiki yangu alikuwa ana mpenzi wake wote walipendana sana lakini kadr mdaulivyoenda mapenzi ya kapungua hadi mwsho wakaachana kwa maneno na vijembe zaidi ni mwanamke ndo aliye kuwa anatoa vijembe. Cha ajabu mda umepita yule msichana kila akikutana na Ex wake anatabasam ,
Sasa hapa sielewi jaman wana JF
Anataka kusaidia majukumuUnataka kumuelewa ex wa rafiki yako ili uGundue nini?
ItakuaAnataka kusaidia majukumu